Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,743
serikali iache kuhadaa watanzania. kuna vifaa vya kuweza kuscan documen 1000 kwa very short time.
sema tu kwamba TUME imejipanga vyema kuembarass zoezi la uchaguzi ili kuisaidia ccm ishinde.
Ninahisi hata hizo vurugu zinazoanzishwa mahala mahala ni matokeo ya kazi nzuri ya green guards wanaojivika alama za vyama vya upinzani