Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

Hawa wote ni wafuasi sugu wa Lowassa. Ushindi wao umetokana na nguvu na ushawishi wa Lowassa. Hongera Lowassa, rais mtarajiwa wa Tanzania 2015.
mkuu Lowassa si rais mtarajiwa bali mgombea urais mtarajiwa kwani atawagaragaza wote kwenye kura za maoni za magamba lakini mbele ya Dr wa ukweli ataanguka vibaya sana,rais mtarajiwa ni DR W.SLAA.
 
Mfano tuligoma kuuza mafuta, wote
Mlipagawa!!!![/QUOTE]

Yaani kwa exposure yako utajiri ni mafuta peke yake.Kazi ipo.By the way the Bush's nao wanafanya biashara ya mafuta.Je nao ni Waislamu?
 
MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe. JUMA SADIFA - 2012-2017
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.MBONI MHITA

HONGERENI SANA!!! UVCCM HOYEEEE

WAJUMBE NEC

Jerry Silaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya

Hongera yao..........................bila shaka udini haujatumika, japo mwenyekiti na makamu ni waislamu, na wajumbe wote ni wakristo, tunachotaka ni viongozi wenye dhamira njema na tanzania kwa manufaa ya watanzania.
 
Yaani kwa exposure yako utajiri ni mafuta peke yake.Kazi ipo.By the way the Bush's nao wanafanya biashara ya mafuta.Je nao ni Waislamu????
OPEC iko Uarabuni na inamilikiwa na Waislamu.

Back to topic Pasco andaa Champagne za kutosha tumebakiza jumuiya ya wazazi tu ambayo ni rahisi mno na hakuna wa kuzuiya nguvu ya mtukufu Edo. bado nasubili tamko la UVCCM pwani kama wana jeuri ya kuongea tena utumbo wao washughurikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Hongera yao..........................bila shaka udini haujatumika, japo mwenyekiti na makamu ni waislamu, na wajumbe wote ni wakristo, tunachotaka ni viongozi wenye dhamira njema na tanzania kwa manufaa ya watanzania.
Acha kuipotosha akili yako, hao wote ni dini moja nayo ni ufisadi. Ukristo na Uislamu unaujuwa wewe. uliza hirizi nyekundu zilivyookotwa ukumbini utadhani kama condom zinavyookotwaga unapolala mwenge.
 
Juma??? hongera zako maana umeingia wakati muafaka wa kuonyesha kipawa chako cha kuongoza vijana ndani ya magamba ili kukabiliana na hekaheka za kuelekea 2015
 
Swali je wanaweza kuleta impact gani kwa vijana wa uvccm na vijana wote wa tz?kwani binafsi sikuona la maana alilofanya malisa na wenzie lililonigusa mie kama kijana wa kawaida wa kitanzania.
nakubaliana na wewe kabisa,muda mwingi Malisa alizurura kufanya kampeni za majungu,hawa kama wameusoma mchezo
wadili na kurudisha heshima ya Chama
 
Acha kuipotosha akili yako, hao wote ni dini moja nayo ni ufisadi. Ukristo na Uislamu unaujuwa wewe. uliza hirizi nyekundu zilivyookotwa ukumbini utadhani kama condom zinavyookotwaga unapolala mwenge.

Mkuu naelewa vizuri, basi tu nilikuwa najaribu ku neutralize maneno yangu..............na walioshinda wote ni kambi ya Lowassa.................ccm inauawa na wanaccm wenyewe kwa mikono yao wenyewe.
 
attachment.php

huyo ndiyo mboni mhita mzalendo kweli kweli mpigania haki za vijana kama malemo tutegemee makubwa kutoka kwake rip chadomos ccm oyeeeeeeeeeeee
yaani
huyo dada akisema apiganie haki tu,kuna haya yatamtokea
1.kufukuzwa chamani
 
Kweli EDo kakosea. Huyo mboni kilaza wa kutupwa. Kasha disco vyuo zaidi ya vinne kikiwemo tumaini na scholaship aliyopewa kimabumashi ya uingereza na mama ake alipokuwa naibu waziri wizara ya elimu.
 
Waacheni wajipange; haya ni mambo yanayoendelea CCM na CCM inajipanga kuelekea 2015. Swali kubwa nii je mabadiliko yote ya uongozi yanayofanywa ndani ya CCM sasa hivi yatakisaidia vipi chama kuendelea kutawala 2015?
Kiongozi, uliniahidi kuleta uchambuzi baada ya kumalizika kwa chaguzi hizi. Nipo mkao wa kula. Kila la kheri
 
...Viongozi NANE, Wanaume SITA Wanawake WAWILI...! Ni Nani Yule Alipataga Kusimama Kwenye Majukwaa ya Kisiasa na kudai Kuwa "..Akina Mama Watapewa Kipaumbele Kwenye Nafasi za Uongozi..."??

Umeambiwa hizo nafasi zilikuwa zinagawiwa kama za viti maalum?
 
kwa mujibu wa vyombo vya hari leo asubuhi vijana wameosha kufuata nyayo za wakubwa wao kwa maana rushwa pia ilitawala kwenye uchaguzi huo wa vijana. Kwa mantiki hiyo sioni wala sitarajii lolote jipya kwenye safu mpya ya uongozi ya UVCCM yote ni maandalizi tu ya uraisi 2015. Watanzania tuweni macho na mafisadi wapo mbioni kuiteka nchi na hakika wa kiichukua tumekwisha hatutakuwa na letu tena ndio tutazidi kudidimia. Hata mweshimiwa raisi amedecalre kwamba rushwa na makundi yanayowania uongozi ni matatizo kubwa sana ndani ya CCM hata anamashaka endapo CCM itasalimika 2015 ila kwa kudra za mwenyezi mungu. Sasa tusifanye makosa tuonyeshe kweli tunachukia rushwa kwa kuitosa CCM na tudhihirishe kwamba mashaka ya kikwete yalikuwa sahii vinginevyo Tanzania itaonyesha kuwa ni nchi ya rushwa na inayounga mkono vitendo vya rushwa kwa maana hata wananchi wake wanachangua viongozi kwa kuhongwa
 
Back
Top Bottom