Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA


Namkubali Kigoda, Shein, Nahodha, Dr. Mwinyi na hata Migiro wote ni spotless ila kuna silent (haijaandikwa popote), zamu kati ya bara na visiwani na kati ya Mkristo na Muislamu!. Baada ya Kapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na Muislamu!, wajanja kwa kulijua hilo, zamu ilikuwa ni ya Dr. Omar, ili kuipoka zamu ya Zanzibar, there was no way, Dr. Omar had to go!, ili zamu irudi huku kwa kukosa mtu kule!.

2015 zamu ni ya bara na ni Mkristo, wamiliku Wakuu wa Ukristo kwa Tanzania ni Wakatoliki, kwa vile EL ni Mlutheri, imembidi ajihalalishe sana na TEC, ndio maana mmeona akihangaika sana na fund raising za makanisa ya Katoliki na kujisogeza sogeza karibu hata ikubidi kulobby kualikwa na kuzamia kutoa salaam!.

Wakatoliki ndio wamejipa hati miliki ya urais kuwa kama ni Mkristu, sio Mkiristi ili mradi Mkristo, "he has to be Mkisto Mkatoliki"!. Ndio maana papoja na juhudi zote za mgombea wangu EL, na kukuru kakara zote, at the end of the day, atakayesimamishwa CCM ni Bernard Membe "Mkristo Mkatoliki!". Magufuli pia ni Mkatoliki, ila yeye kamwe hawezi kupewa kwa sababu he is too risky "Mrema Type", ni "populist" and can do anything ikiwemo kumpandisha Mkapa, JK na mafisadi kizimbani, and he is a possible dictator!.

Kwa vile CCM watamsimamisha Membe na aminini nawaambia Lipumba hata simama!, then Chadema ikimsimamisha Mkatoliki, kura za Wakatoliki zita split, betwen the two, na final beneficiary itakuwa ni CCM!. Nliwashauri Chadema, lazima wafanye "affirmative action" "to engeng" the Muslim kwa kumtumia ZZK kama mtaji chanya kwa kumteua kuwa canditate wao!, Chirstians watampa!, Muslims Watampa!, Elite group Watampa!, Youth Watampa!, Kura zote za Pemba na half za Zanzibar kwa rais wa JMT, atakomba, na kuyra nyingi zaidi kuliko kura zote ni kura za "wanawake, nazo atazilamba kwa sababu jamaa ...apeal, na kwa wanawake, huyo ni Chatu mbale ya mbwa!, wawe single or ..., watabana wee, mwisho wataachia, na wote watatoa!, hivyo Chadema kushinda very sweet landslide victory!.

Kuna watu wataniita "mdini", niiteni tuu as long as ni ukweli mchungu kuwa "udini upo", hatutauondoa kwa "denial" bali kwa "facing the facts".

P.

Pasco
 
Back
Top Bottom