WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,415
- 1,379
Mkuu ungeandika kiswahili tuMkuu I'd write my history but let's leave that for another day but trust mõi sijapitia huko
Mkuu ungeandika kiswahili tuMkuu I'd write my history but let's leave that for another day but trust mõi sijapitia huko
Nimeona kama mara 3 mama wakizungu akitoa nyonyo malls na akanyonyesha mmoja kwenye bus..si kama wanapenda ila mtoto ndio anataka chakula lazima akipate....ila africa nchi nyingi wananyonyesha tu hadharaniSalam wakuu,
Habari za jioni na weekend in general?. Nipo ndani ya dala² hapa nimekaa pembeni na Dada mmoja. Huyu dada ana mtoto mdogo wa kiume (infant) ambaye alianza kulia na ndipo dada huyu akatoa ziwa lake na kuanza kumnyonyesha mtoto wake. Nikajiuliza je, ni kwa upendo ambao mama zetu au dada zetu wakiafrika wanao kwa watoto wao ndio hupelekea kutosita knyonyesha watoto wao popote pale wanapokua? Kwa maana nishawahi pia kushuhudia kanisani, na sehemu nyingine tofauti. Je, na nchi nyingine pia wanautaratibu kama huu au ni kwetu tu hapa TZ? Nawasilisha wakuu, and I meant no offense to my sisters and mothers out there..
Kunyonyesha hadharani (Breastfeeding in Public), kuna tatizo?
Big up my sweet ctr umeongea vema sana,Nini shida?kunyonyesha hadharani, au kutembea huku tumebusti maziwa hadi chuchu zinataka kuonekana?think twice.....my self nilikuwa proud nilipokuwa namnyonyesha mwanangu
Tumia kiswahili hii ndio lugha tunayoifahamu wote.Wee SteveD, my wife wako akiwa ananyonyesha kwenye basi na ndio mzao wake wa kwanza unajisikiaje? Think of it... Uh? Pains eh? Wambie ukweli kama inauma... Kama kweli haikuumi basi ni vema akaanza ku-practice kwa sasa
Mdada nzuri sana, me nichangie kwa kusema hakuna ubaya wowote kunyonyesha hadhari coz mtoto anapata chakula chake kama isivyokuwa na ubaya mtu kukamata hotdog, hamburger nk na kula hadharani. Ila tu utashi binafsi ndo huchangia na nadhani hii inatokana na mila na desturi za eneo husika. Kwangu japo sio shida mtoto kunyonyeshwa hadharani but binafsi sipendi ndo maana humwambia mke wangu, inapobidi kunyonyesha hadharani basi awe anafunika na kipande cha kanga,kikoi,mtandio nk. Na hili wadada wengi hulifanya, nimekua nikiina hivyo kwa marehemu mama mzazi, dada na wadogo zake lakini pia nimeiona kwa dadazangu. So narudia kusema si dhambi wala hakuna ubaya mtoto kunyonyeshwa hadharani ila makuzi na malezi tuliyopitia ndo hutupa utashi wa kufanya ama kutokufanya.Kumekuwa na hoja tofauti toka kwa watu mbalimbali juu ya unyonyeshaji. Binafsi sielewi wapi niangukie... Nikaona nawashirikishe ili kupata maoni yenu. Je, kunyonyesha hadharani [Breastfeeding in Public] ni kosa?
Wanaume mnasemaje? Kina dada/mama vipi mwasemaje?
Umenena vyema mkuuhakuna ubaya kumnyonyesha mtoto wako popote isipokuwa wadada na wamama wa sikuhizi wanasahau kitu kimoja muhim sana. Nacho si kingine ni upande wa KHANGA au KANGA. Hii husaidia kujisitiri wakat ananyonyesha. Wanawake sikuhiz sijui uzungu mwng unasafir na mtoto kwenye mkoba unajaza vipodozi unasahau hata kanga moja
Umenena vyema mkuuMie hapana, nafunika khanga sioneshi hadharani
Hakuna msisimko wowote naopata mkuu, nlimaanisha tu kwamba sometimes haijakaa vizuri kutoa ziwa hadharani na kunyonyesha mbele za watu, at least basi mtu ajisitiri kwa kipande cha nguo kama wakuu wengine walivyochangia hapokwani,mkuu huwa unapata msisimuko wowote ukiona mwanamke katoa ziwa kumnyonyesha mwanake? kwangu binafs huwa naona kawaida ni kitu cha kawaida kunyonyesha nahis ni mazoea/mindset maana hlohlo ziwa linaweza kunitoa udenda nikiliona katka mazingira mengine ukiacha kunyonyesha.kunyonyesha in public ni kawaida naweza kusema ni utamaduni wetu Watanzania.(japo sijui utamaduni na dini vinaingiliana vipi).
Mie hapana, nafunika khanga sioneshi hadharani
Hakuna msisimko wowote naopata mkuu, nlimaanisha tu kwamba sometimes haijakaa vizuri kutoa ziwa hadharani na kunyonyesha mbele za watu, at least basi mtu ajisitiri kwa kipande cha nguo kama wakuu wengine walivyochangia hapo
Na ukiweza hakikisha mtoto anashiba kabla hujatoka home hatakusumbua njiani. Au tembea na chakula chake ie maziwa, uji au chakula chochote kama ameanza kula vyakula vingine. Proud to be mother!MI sijawahi knyonyesha hadharani huyo dogo siku was kuzurura nae popote Zaid ya clinic ya karibu na home bhaas
Binti, Umeisha pigs copy? Kama bado sidhani kama unakielewa unacho kuongea!Heshima yao imeshuka!