Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

Muulize mama yako nayeye alikunyonyesha kwenye daladala ulipolia kama huyo. Angekunyima ungelia sana. Nakushauri umtafute huyo dada umpongeze kwa kutoona aibu kumnyonyesha mwanaye mbele ya public. Big up wadada na wamama mnaofanya hivyo. Salute kwenu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Salam wakuu,
Habari za jioni na weekend in general?. Nipo ndani ya dala² hapa nimekaa pembeni na Dada mmoja. Huyu dada ana mtoto mdogo wa kiume (infant) ambaye alianza kulia na ndipo dada huyu akatoa ziwa lake na kuanza kumnyonyesha mtoto wake. Nikajiuliza je, ni kwa upendo ambao mama zetu au dada zetu wakiafrika wanao kwa watoto wao ndio hupelekea kutosita knyonyesha watoto wao popote pale wanapokua? Kwa maana nishawahi pia kushuhudia kanisani, na sehemu nyingine tofauti. Je, na nchi nyingine pia wanautaratibu kama huu au ni kwetu tu hapa TZ? Nawasilisha wakuu, and I meant no offense to my sisters and mothers out there..
Tatizo lako pia umezoea kupiga chabo, titi la mdada lilikuja live karibu nawe naona lilikupatia mhemuko hadi umekimbilia JF
 
Ni jadi yetu waafirika weusi na ni Utu.Hii imekuwa hivo vizazi na vizazi.Abdalla wako akikusumbua katika hali hiyo wewe utakuwa mgonjwa wa Akili.Ni ukatili , na dalili za uchoyo uliopitiliza kiasi unatamani chakula cha mtoto ule wewe.huna control.
Haha skuiz watu wazma ndo wananyonya mkuu
 
Kama ni tabia yako kufungua titi lako na kuliacha wazi uache!
kunyonyesha si tatizo, ila kuacha wazi yananingia tu... uwe unafunika na hata khanga shogaa
Sikutegemea wewe kunijibu hivyo na siamini kama ni wewe umenijibu hivyo, hata hivyo malezi tumepishana, sidhani kama mleta uzi kunasehemu amesema titi linaning'inia labda sijui kusoma hata hivyo ahsante kwa ushauri
 
Watu wana Westernize kila kitu kiasi kwamba huko tuendako tutapangiwa hata schedule za kula apple!.
 
watoto huwa wana makusudi yaan mbela za watu ndo atalia nakueeka mkono kuanza kutoa nyonyo tuwape tu ni haki hao! ila akiwa ananyinya unafunika ki dizaini ajiachie
 
Sijawahi kuona mtu anashangaa hiki kitu wakati mwngne huwa nahisi ni tendo lisilo na hiari ,...mtoto kalia na titi limetolewa bila mama kuwaza kwamba hili halitakiwi kuonwa,..mimi. huwa najifunika na. Kanga au mtandio maana naonaga aibu
 
Heshima yao imeshuka!

Kuna kesi nyingine ni special, kama hiyo kwenye daladala huna jinsi, bora heshima yako ishuke lakini mtoto apate haki yake. Mimi ni mmoja wa watu ambao siruhusu kabisa wife anyonyeshe hata sebuleni kama kuna mgeni, ni chumbani. Kuna siku nilikuwa natoka clinic na wife nikampa rafiki yangu lifti alikuwa kituoni, mbele kidogo mtoto akaanza kulia njaa, ilinibidi nishuke na msela ili wife amnyonyeshe then baada ya hapo tukarudi kwenye gari. Nashukuru msela alinielewa.
So inategemea, kwa kesi kama hiyo na mpo kwenye daladala sitakuwa na jinsi itabidi wife ashushe tu sidiria hata mbele za watu, maana navyompenda mwanangu hakyanani siwezi kumucha alie hata kwa dakika moja.
 
kwani,mkuu huwa unapata msisimuko wowote ukiona mwanamke katoa ziwa kumnyonyesha mwanake? kwangu binafs huwa naona kawaida ni kitu cha kawaida kunyonyesha nahis ni mazoea/mindset maana hlohlo ziwa linaweza kunitoa udenda nikiliona katka mazingira mengine ukiacha kunyonyesha.kunyonyesha in public ni kawaida naweza kusema ni utamaduni wetu Watanzania.(japo sijui utamaduni na dini vinaingiliana vipi).
 
Sijawahi kuona mtu anashangaa hiki kitu wakati mwngne huwa nahisi ni tendo lisilo na hiari ,...mtoto kalia na titi limetolewa bila mama kuwaza kwamba hili halitakiwi kuonwa,..mimi. huwa najifunika na. Kanga au mtandio maana naonaga aibu
inashangaza kwangu mimi titi likitolewa kwa ajili ya kunyonyesha naona kawaida tu,lakini nikiliona titi hlohlo katka mazingira tofauti mawazo yanahama na athman kichwa wazi anaweza akaamka haraka.
 
Binafsi nikimuona Mama anamnyonyesha mtoto wake huwa napendaga sanaaa....

Coz nowdys imekuwa adimu sana hiyo. Binti akijifungua katoto kwa kwanza hataki kukanyonyesha eti ziwa lake litalala kama chapati so eti litakosa mvuto. sasa ulizaa ili iweje? unataka katoto kako kakanyonyeshwe na mbwa au? Acheni hizo bhana!

Mtoto anakosa vitu mhimu sana mwilini kisa u ccta duuh! wenu. mpe ziwa alikamua vzr haswaaa!! likiwa km chapati poa tuu... si tayari una mtoto? mbona wanaume mnawapa hata kabla hawajaomba?
 
Kuna kesi nyingine ni special, kama hiyo kwenye daladala huna jinsi, bora heshima yako ishuke lakini mtoto apate haki yake. Mimi ni mmoja wa watu ambao siruhusu kabisa wife anyonyeshe hata sebuleni kama kuna mgeni, ni chumbani. Kuna siku nilikuwa natoka clinic na wife nikampa rafiki yangu lifti alikuwa kituoni, mbele kidogo mtoto akaanza kulia njaa, ilinibidi nishuke na msela ili wife amnyonyeshe then baada ya hapo tukarudi kwenye gari. Nashukuru msela alinielewa.
So inategemea, kwa kesi kama hiyo na mpo kwenye daladala sitakuwa na jinsi itabidi wife ashushe tu sidiria hata mbele za watu, maana navyompenda mwanangu hakyanani siwezi kumucha alie hata kwa dakika moja.

Ashushe amnyonyeshe lakini ajifunike katiti chake., mbona wengi tu wananyonyesha na wanajifunika?
 
Sawa mkuu, lakini pia kimaadili ipo sawa kweli?
Haina tatzo kabisa ! Kwa mfano we ukiona mtoto ananyonyeshwa na mama yake huwa unapata hisia gani ? Na unaweza kufananisha hisia unazopata kama ukiona watu wanagegedana hadhalani ?! Kama no ! Basi ni sawa kwa mama kunyonyesha mwanae hadharani !
 
Utamaduni wa mtanzania haupimwi kwa kuiga nchi zingine wanafanyaje. Sio Lazima kila kitu tuige. Tuna maisha yetu na ustaarabu wetu kama watanzania hata kama mataifa mengine watakua hawaafiki. Sababu nchi zingine wanaruhusu ushoga je nasisi tuige?

Kunyonyesha watoto ni muhimu sana kwa makuzi bora ya mtoto inashauriwa hivyo. Watoto hawana muda maalum wa kula popote njaa ikimuuma analianzisha, Mama huwa hawana budi kufanya hivyo sababu ya mapenzi ya dhati kwa watoto wao. Tatizo sio kina Mama kunyonyesha tatizo Ni akili zilizopinda za watu siku hizi kila kitu wanaangalia kwa jicho la tofauti.
 
Mie sioni shida kunyonyesha pahala popote. Kutonyonyesha hadharani ni kuiga uzungu!!! Usio na tija.
 
Back
Top Bottom