Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

Mimi naona kama ni makosa chakula ya mtoto kuigeuza kiungo cha siri..!

Nadhani hii yote inaletelezewa na mijibaba miroho inayopenda kutumia nyonyo kama sehemu ya utamu muda wa kunjunjuana mwisho sasa naona imebinafisisha menu ya watoto (nyonyo) na kuigeza bidhaa adimu km madawa ya kulevys eti madogo watumie mafichoni uonevu na siyo mpango wa Mungu....heshimu haki za watoto.
 
Hakuna tatizo mtoto ana haki ya kunyonyeshwa popote pale ambapo mama yake anahisi/anajua mwanae ana njaa.
Sawa kabisa, bila hawa tusingekuwa duniani..heshima kwa kina mama zetu na wake zetu
imagesxxx.jpg
imagesdd.jpg
imageszz.jpg
imagesnn.jpg
images33.jpg
indexq.jpg

index.jpg
imagesa.jpg
indexz.jpg
imagesnnn.jpg
imagesaaa.jpg
indexhh.jpg
imageskkk.jpg

Mpaka inatia raha..
 
Na ukiweza hakikisha mtoto anashiba kabla hujatoka home hatakusumbua njiani. Au tembea na chakula chake ie maziwa, uji au chakula chochote kama ameanza kula vyakula vingine. Proud to be mother!


Hakuna tatizo mtoto ana haki ya kunyonyeshwa popote pale ambapo mama yake anahisi/anajua mwanae ana njaa.

Ila mi Sioni shida, mtoto anyone popote pale inapobidi... ndiye wa muhimu
 
yap suala ni kujifunika iwe na mtandio au khanga ili kuleta picha nzuri na kilamtu ajisikie huru alipo. Unajua sometime mtu anaweza kuogopa hata kukuongelesha akidhani utahisi anatazama titi lako. Ni hayo tu wajameni
 
Wakuu,
Naona the fakt ni kwamba mama yuko huru kunyonyesha popote pale mradi tu ajisitiri jamani
 
Hakuna msisimko wowote naopata mkuu, nlimaanisha tu kwamba sometimes haijakaa vizuri kutoa ziwa hadharani na kunyonyesha mbele za watu, at least basi mtu ajisitiri kwa kipande cha nguo kama wakuu wengine walivyochangia hapo
bhas ukiona hvyo ujue ni kawaida tuu,maana haileti mgogoro wa nafsi ila tunafosi.
 
Ili swali ungemuuliza mama yako angekupa jibu najua kuwa alifanya hivyo wakati akikulea
Hili sio jibu sahihi, kuwashirikisha wazazi kwenye mijadala ya mtandaoni kama unamheshimu mama yako mheshimu na wa wenzako pia, hoja hapa sio kucha kunyonyesha hadharani ni namna wanavyonyonyesha
 
Kwa mtazamk wangu anatakiwa kujistiri sio kujiachia ajifunike hata kanga mtoto apate Uhuru wa kunyonya vizuri
 
Inawezekana vipi kufunika titi bila kufunika walau kidogo uso wa mtoto ambaye mdomo wake upo kwenye chuchu?, Mi nashauri wale wanaosema mama ajifunike funike wajaribu kula ugali na maharage wakiwa wamejifunika na shuka au kanga halafu waone karaha yake ndio warudi humu kuchangia, kina mama never cover your breasts! waacheni watoto wanyonye kwa raha upo kwenye dala dala mtoto ananjaa unafanyaje? TOA NYONYO MPE MTOTO! mtoto anaponyonya ni pua tu ndio inayovuta pumzi mdomo unakuwa busy kwenye hoteli... unapomfunika unaongeza uwezekano wa mtoto kutokupata hewa ya kutosha, kitu ambacho ni hatari sana kwa ubongo wa mtoto. Ndio maana mtoto aliyefunikwa huwa anaachia ziwa kila baada ya muda fulani ili avute pumzi....jamani tusiwa nyime hewa watoto, tuwaache wa enjoy chakula chao
 
Back
Top Bottom