sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 48
- 199
Habarini,
Ninaomba Kuuliza kwa wazoefu , Endapo Mama anachangamoto ya Maziwa kutoka toka Mtoto ana mwezi Mmoja Je ni sahihi kwa mtoto kuendelea kupewa maziwa ya kopo hasa Lactogen kwa zaidi ya Miezi 7?
NOTE: Mama Ana upungufu wa maziwa toka Akiwa na mwezi Mmoja yamekuwa hayatoki hata yakitoka kidogo mtoto alikuwa hayataki anayatema na madaktari wakashauri maziwa Mbadala ndo yawe suluhisho.