rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,264
- 16,645
Si kweli. Bora sehemu nyingine sio kwenye daladala mtoto akilia usipompa ziwa unawezachapwa kibao na mtu usiyemjua na matusi juu, tena wanakugombeza hasa. Nimenusurika kupigwa mara mbili.
Kama ni tabia yako kufungua titi lako na kuliacha wazi uache!
kunyonyesha si tatizo, ila kuacha wazi yananingia tu... uwe unafunika na hata khanga shogaa