Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

File Removed for Violation.

The file you requested has been removed from MediaFire for a violation of our Terms of Service.

Still have questions, or think we've made a mistake? Please contact support for further assistance.

Nimepata ujumbe huu, nifanyaje?
 
Tumia google utapata hiyo dc unlocker 2 alafu urudi kwa hii nyuzi kwa ajili ya procedures
 
hii kitu imenisaidia sana hadi raha...natamani kuanzisha kibanda niwe ninaunlock modems tuu... nashukuru kwa link mkuu
 
Wakuu mimi ilikubali kwa mitandao ya airtel na voda lakini kwa tigo haidetect kabosa na inaandika iko unlocked sasa sijajua tatizo ni nini
 
mwenye folder file ya dc unlocker nami ani pm ninazo dowload google zinataka user name
 
Naomba msaada nataka ku-unlock Huawei E3531 tafadhali ya Airtel
 
Back
Top Bottom