Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

Line za zantel cdma haziuzwi kama za kawaida nenda ofisini kwao uwaambie nna simu ya cdma nataka line watakuuzia elfu 10

Mkuu ukiachana na hiyo zantel na ttcl. Je kwa hii mitandao mingine hakuna uwezekano wa kupata line ya cdma? Nahitaji kutumia ktk simu ya mezani
 
Mkuu ukiachana na hiyo zantel na ttcl. Je kwa hii mitandao mingine hakuna uwezekano wa kupata line ya cdma? Nahitaji kutumia ktk simu ya mezani
sijawahi sikia.

na cost ya cdma kuanzia line hadi vifurushi ni bora ununue tu simu nyengine ya mezani ya gsm
 
sijawahi sikia.

na cost ya cdma kuanzia line hadi vifurushi ni bora ununue tu simu nyengine ya mezani ya gsm

Zinapatikana maduka gani mkuu?
Coz mimi nina simu ya ttcl ya mezani. Sasa haiko vizuri ktk mtandao. Network yake ni shida kwa eneo nililopo. Ndo mana nimeona nibadili line japo sijajua kama hiyo simu natakiwa kuiflash kwanza au lah.
 
cdma hata uki unlock option ni zantel ndio utakayopata.

inawezekana kupata simu ya mezani kwa sh 50,000 hadi 100,000 na ukitafuta vizuri hadi 30,000 unapata second hand.

kuna jamaa wanazitangaza 150,000 watumie incase ukikosa kabisa

SALE ! SALE ! SALE ! BIDHAA MPYA . SIMU ZA MEZANI 150,000/- – iOneHouse.com
 
Basi nitatumia kwa zantel tu coz ni kwa matumiz ya home tu. Ngoja nifanye utaratibu wa ku unlock
 
Wakuu msaada wa ku unlock modem hiz mpya za tgo,huawei e3372. No hizi za 4g lte
 
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts

then itahitaji unlock code, am not sure ni ipi inatumika kuna za zamani na mpya. kama ni njia ya zamani zipo software kibao online just search huawei unlocker. ila kutokana na upya wa hio modem sidhani kama wanatumia njia ya zamani na njia hii mpya sidhani kama washaiweka kwenye hizi software zetu za bure.

muone Mwl.RCT anaweza kusaidia/kukuuzia unlock code
 
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts
Nambie Model ya Modem yako?
Kama ni E3372h mziki wake sio mdogo labda iwe code

Ila kama ni E3372s na inaomba code waweza tafuta code mpya i.e 120 Algorithm codes nafikiri ndo zina unlock hiyo modem

Kama utazikosa waweza nicheki
 
Bila shaka hii Modem Huawei E3372h-153 ni HiLink - Inafungukia kwenye Browser.

Je unapo weka laini tofauti inataka unlock codes, kama jibu ni ndio inawezekana. Na code price ni 10k
Njunwa model ni e3372h- 153
 
Hiyo inawezekana kupata codes zake
Kinachotakiwa ni:
  1. Model mfano: Modem Huawei E3372h-153
  2. IMEI number
Nitakupatia codes husika kwa 10k
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts
 
Modem yangu ni HSUPA .Model:MF190 .ZTE.IMEI 862648015464988 Naomba unlock code tafadhali
 
Back
Top Bottom