Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,700
- 27,056
Enzi hizo ustar uliondoka na wengi sana lilipokuja swala la UKIMWI maana ni ugojwa ambao ulikuwa bado hajujatiliwa mkazo, ile kukubalika na wadada au wababa wengi baada ya kuupata umaarufu, wasanii wetu welishindwa kabisa kutulia ikawa ni kuvua chupi hovyo.John Mjema alipogundua anao akajiua kwa kujichoma kisu moyoni laiti angepata ushauri mzuri akatafuna njugu tungekuwa naye sasa hivi. Jini Kabula yule tall naye alitakaga kujiua ila kanselling ikamsaidia akaanza dozi sasa hivi huwezi kumtambua pisii kali ataondoka na wengi.
King Kong III
UKIMWI ulichukua wengi mno, na hata sasa mastar wengi wanao kwa kushindwa kwao kuuhimili umaarufu wanaoupata ukubwani.