bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
hahaaaa 'product' huh!!!Hahahaha vidole vyangu vinasumaku nikizamisha sibahatishi lazima nitoke na product
uko na Boflo tayari mida hii au na maria roza??
hahaaaa 'product' huh!!!Hahahaha vidole vyangu vinasumaku nikizamisha sibahatishi lazima nitoke na product
hahaaaa 'product' huh!!!
uko na Boflo tayari mida hii au na maria roza??
U see hii thread tricky...But NN kama muanzisha mada you should be candid by setting an example - still waiting for the name... Lkn kumbuka things are not what they seem to be...isije ikawa ni mtu wa same gender...
Yupo askofu kule juu amekuulizia...wa kwetu mi nimeamua kuwa sista mpaka nitakapoamua vinginevyo.......
Yupo askofu kule juu amekuulizia...
Huyu mbona utapata shida.. kuna kina GS..na wengineo..mpambano utauweza?
for sure?basi nipo mimi nacheza kotekote nadhani nitakufaa.Tausi tafadhali usinipakazie..Lini nilikwambia kwamba nataka kutoka na Mwanakijiji?sina mpango wa kutoka na Mzee mie bado knda kabisa,kisa cha kujipachika mizee niipeleke wapi?
for sure?basi nipo mimi nacheza kotekote nadhani nitakufaa.[/QUOTE
Nilishasema kule nampenda nisiyemjua..Siwezi kupenda mwingine kwa sasa,nitakuwa na kudanganya tu BK.Moyo uko kwingine kabisa,we unapenda kudanganywa kwenye mapenzi?
sio mbaya mara ingine huwa naona bora kudanganywa tu,anyway bado uko serious na yule jamaa?lazima mtakua mefikia pazuri sasa,wish the best.for sure?basi nipo mimi nacheza kotekote nadhani nitakufaa.[/QUOTE
Nilishasema kule nampenda nisiyemjua..Siwezi kupenda mwingine kwa sasa,nitakuwa na kudanganya tu BK.Moyo uko kwingine kabisa,we unapenda kudanganywa kwenye mapenzi?
sio mbaya mara ingine huwa naona bora kudanganywa tu,anyway bado uko serious na yule jamaa?lazima mtakua mefikia pazuri sasa,wish the best.
Niko serious na jamaa...mambo bado hayajawa mazuri..Lol unaona bora kudanganywa come on man..
Tausi tafadhali usinipakazie..Lini nilikwambia kwamba nataka kutoka na Mwanakijiji?sina mpango wa kutoka na Mzee mie bado knda kabisa,kisa cha kujipachika mizee niipeleke wapi?
Tausi tafadhali usinipakazie..Lini nilikwambia kwamba nataka kutoka na Mwanakijiji?sina mpango wa kutoka na Mzee mie bado knda kabisa,kisa cha kujipachika mizee niipeleke wapi?
My eyes are on you... yes YOU! Ila siwezi kusema jina lako maana utakuwa ugomvi hapa.. but you know who..!
Hmmmm...wewe nawe utaanza kutisha watu hapa. Nahisi unamnyemelea wa kwangu kama siyo mtaje wa kwako.....