Ungependa kutoka na nani hapa JF....

huu upiga debe umejifunzia wapi.....ubungo, tandika au posta? maana naona unatafut asehemu ya attachment ili ufanye mazoezi kwa vitendo.......

Nimejifunzia Tandale kwa Tumbo pale.
 
Mimi najisikia kumpenda carmel, lakini ukweli naogopa commitment. Labda iwe kutoka tu kwa lunch nk au hata zaidi but seriously iwe NSA. But I guess she's cute.
 
mmmmmmmm!!!! n ahakuna wa kupunguza hasira sasa babu yako kasepa!!!




HAHAAA LOL!!! kwani mamii hata mwanzo wa mapenzi si tamu kama asali lakini mwisho wake mchungu kama shubili lol!!!
Acha tu mamii yaani haya maisha ya mapenzi mie nimeyavua kabisa ah.

Ah babu kasepa nani atakayeniharibia hasira hii sasa?
 
Acha tu mamii yaani haya maisha ya mapenzi mie nimeyavua kabisa ah.

Ah babu kasepa nani atakayeniharibia hasira hii sasa?

aah mamii I dont even believe in love!!!! bahati yangu mbaya......hahaaaaa lol!!!

mmh jioni hii mpendwa we jitabasamie tu.....ili ukalale kwa amani
 
Back
Top Bottom