Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Kweli Theodora, mi nahisi wengine hapa ni kina SEMENYA sijui itakuwaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
U see hii thread tricky...But NN kama muanzisha mada you should be candid by setting an example - still waiting for the name... Lkn kumbuka things are not what they seem to be...isije ikawa ni mtu wa same gender...
 
Si kwa uzuri wa avatar wala intelligence, Kuna kifaa hakijashtukiwa humu kinaitwa Diana DaboDifu, mie hilo jina tu ndilo linalonipa hamu maana najaribu kuvuta picha yake atakuwa anafananaje, yawezekana ni dabodifu kweli.
 
for sure?basi nipo mimi nacheza kotekote nadhani nitakufaa.[/QUOTE

Nilishasema kule nampenda nisiyemjua..Siwezi kupenda mwingine kwa sasa,nitakuwa na kudanganya tu BK.Moyo uko kwingine kabisa,we unapenda kudanganywa kwenye mapenzi?
sio mbaya mara ingine huwa naona bora kudanganywa tu,anyway bado uko serious na yule jamaa?lazima mtakua mefikia pazuri sasa,wish the best.
 
Du mimi ningetoka na preta jamani mi navyo mzimika we acha tu jamani
Preta uko single au uko na mzee?mi mwenzio niko singleeeeeeeeeeeeee
:cheer2:
 
Tausi tafadhali usinipakazie..Lini nilikwambia kwamba nataka kutoka na Mwanakijiji?sina mpango wa kutoka na Mzee mie bado knda kabisa,kisa cha kujipachika mizee niipeleke wapi?

mwenzetu wewe ni vipi? mara mwanaume mara mwanamke mbona hueleweki kama ni mwanamke au mwanaume?
 
Back
Top Bottom