Simshauri kabisa kijana anayejtafuta ajihusishe na uzinzi

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Uzinzi ni kufanya mapenzi na mke au mume asiye wako, au mwanamke tofauti na mke wako. Kama huna mke, pia kulala na mwanamke ambaye ameolewa au hajaolewa, huo ni uzinzi pia. Unazini.

'Take a look' kwa wakazi wa hapo mtaani pako kutoka nyumbani kwako mpaka nyumba ya 10 kila upande. Wana maisha gani? Je, unapenda uwe kama wao?

Usiishie hapo tu, angalia na mabinti pia kwenye nyumba hizo hapo mtaani, wana maisha? Ungependa uwe kama wao?

Unapojitafuta, chagua upande... kuwa kwa Mungu au ule upande wa pili. Kila upande una kanuni na taratibu.

Upande ule mwingine wewe kuzini siyo 'deal', utatakiwa tu kuyafuata kikamilifu masharti fulani fulani na miongozo katika maisha yako ya kila siku, ili uendelee kuwa juu.

Upande wa Mungu, kuwa subira. Jiepushe na uzinzi na dhambi nyingine. Ila kwa kuwa tunaongelea mafanikio yako wewe kijana unayejitafuta, achana na uzinzi.

Jikane, save, jiepushe na starehe zisizo na umuhimu na uzinzi. Kipindi hiki ndicho cha kujitafuta na kukusanya kwa malengo.

Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya kubadilisha kwa wazazi wako. Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya namna familia yako utakavyoitengeneza na kuiendesha.

Ukizini, baraka zako zote unampa mume/mke wa uliyezini naye, kama ulikuwa na mikosi unabaki nayo mwenyewe, kama huyo unayezini naye (mke/mume wa mtu) ana mikosi, utaichukua na kuiongeza na mikosi yako. Hutotoboa!

Acha kamari!

Roho ya umasikini imetaga mayai, imejichimbia kwenye UZINZI.
Vitabu vyote vitakatifu vimesema.

Kataa udanganyifu na mitego ya 'so called' pisi kali. Kipindi hiki cha kujitafuta wewe kijana, waone washamba tu. 'Trust me, they're not such special', ni wanaume tu wanawa 'overrate' kwa kauli zao na hakuna kingine chochote.

Usilaghaiwe, dhibiti mawazo yako. Waza 'positively', usiwaze 'negatively'. Ukiona mawazo yanakupeleka kwenye 'negativity' ya aina yoyote, basi haraka sana badilisha mawazo, usiruhusu mawazo hayo yakupeleke mbali. Waza 'positivity'.

Wakati mwingine mawazo mabaya yanakuja yenyewe kichwani. Wewe acha yapite usiyafuatishe. Usiyape nafasi. Kama la, waza kitu chanya chochote.

Nawahurumia mno vijana wanaojitafuta, kesho yao ni giza zito. Wanataka maisha mazuri mbeleni ila zinaa na uasherati hawataki kuacha.

Lah! Nchi yangu!.

NB
Maneno ndani ya funga semi ni ya lugha ya kiingereza.
 
Iweje iwe uzinzi tuu ? Na je Unafundisha wakishajipata ndio wazini ? Kwamba tuoneshe utii mbele ya Mungu kwa sababu tunajitafuta ?.

IZINZI ni dhambi tu na inabakia kuwa dhambi tu ambayo hatupaswi kutenda iwe ni bado unajitafuta au uishajipata tayari.
 
Mafanikio na sheria zake yapo kinyume na mafantasi ya mwanandamu. Yataka mtu mwenye uwezo wa kubadili akili na kuuwa kila alichokifanya kuwa kawaida ili kjisogeza mbali na Ukomo unaoumbwa na kawaida hizo.
Maumivu - Uvumilivu - Tabia - Mfumo.
1% ya 1% ndio wanavuka mstari.

Ngoja tuone.
 
Ukizini, baraka zako zote unampa mume/mke wa uliyezini naye, kama ulikuwa na mikosi unabaki nayo mwenyewe, kama huyo unayezini naye (mke/mume wa mtu) ana mikosi, utaichukua na kuiongeza na mikosi yako. Hutotoboa!
Inakuweje iwe kupoteza ni baraka tuu ? Na kupokea ni laana na mikosi pekee.

kuacha dhambi fulani (mfano uzinzi) kwa sababu fulani fulani za kimafanikio na sio kuacha kwa sababu ya utii na upendo wa kweli kwa Mungu ni Unafiki mbele ya Mungu na ni kujidanganga mwenyewe na Mungu hadanganyiki, Mungu sio mbaguzi na amri zake hazina shuruti wala masharti namna hiyo kwamba ukizivunja (mf ukizini) utajifungia milango ya mafanikio fulani fulani, Mungu sio mjinga namna hiyo ingekuwa ni hivyo basi hakuna binadamu ambaye angezini sababu hakuna ambaye hapendi kufanikiwa/kutoboa maishani. Kanuni na milango ya mafanikio ipo kwenye mzani sawa kwa wote wema kwa wabaya, wazinzi kwa wasiowazinzi nk.

NB: mimi ni MZINZI ila sisapoti UZINZI, nitaacha UZINZI nikishapata ndoa na mke wa ndoa.
 
Tuseme achague mmoja atulie nae, Ni hitaji muhimu ili akili ichangamke.
UZINZI ni dhambi tu mbele ya Mungu bila kujali matokeo yake positive/negative.

Ila hii ya kutafuta mmoja tu unaemwelewa, mnae-elewana vizuri na kusikilizana, unaemmudu kiuchumi na kutulia nae vizuri inapendeza sana na kuokoa gharama nyingi sana za uchumi na kulinda afya kiujumla yaani unajibusti ki-uchumi huku na tamaa za mwili zinamahali salama pa kutulizwa hii inapendeza sana.
 
Uzinzi ni kufanya mapenzi na mke au mume asiye wako, au mwanamke tofauti na mke wako. Kama huna mke, pia kulala na mwanamke ambaye ameolewa au hajaolewa, huo ni uzinzi pia. Unazini.

'Take a look' kwa wakazi wa hapo mtaani pako kutoka nyumbani kwako mpaka nyumba ya 10 kila upande. Wana maisha gani? Je, unapenda uwe kama wao?

Usiishie hapo tu, angalia na mabinti pia kwenye nyumba hizo hapo mtaani, wana maisha? Ungependa uwe kama wao?

Unapojitafuta, chagua upande... kuwa kwa Mungu au ule upande wa pili. Kila upande una kanuni na taratibu.

Upande ule mwingine wewe kuzini siyo 'deal', utatakiwa tu kuyafuata kikamilifu masharti fulani fulani na miongozo katika maisha yako ya kila siku, ili uendelee kuwa juu.

Upande wa Mungu, kuwa subira. Jiepushe na uzinzi na dhambi nyingine. Ila kwa kuwa tunaongelea mafanikio yako wewe kijana unayejitafuta, achana na uzinzi.

Jikane, save, jiepushe na starehe zisizo na umuhimu na uzinzi. Kipindi hiki ndicho cha kujitafuta na kukusanya kwa malengo.

Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya kubadilisha kwa wazazi wako. Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya namna familia yako utakavyoitengeneza na kuiendesha.

Ukizini, baraka zako zote unampa mume/mke wa uliyezini naye, kama ulikuwa na mikosi unabaki nayo mwenyewe, kama huyo unayezini naye (mke/mume wa mtu) ana mikosi, utaichukua na kuiongeza na mikosi yako. Hutotoboa!

Acha kamari!

Roho ya umasikini imetaga mayai, imejichimbia kwenye UZINZI.
Vitabu vyote vitakatifu vimesema.

Kataa udanganyifu na mitego ya 'so called' pisi kali. Kipindi hiki cha kujitafuta wewe kijana, waone washamba tu. 'Trust me, they're not such special', ni wanaume tu wanawa 'overrate' kwa kauli zao na hakuna kingine chochote.

Usilaghaiwe, dhibiti mawazo yako. Waza 'positively', usiwaze 'negatively'. Ukiona mawazo yanakupeleka kwenye 'negativity' ya aina yoyote, basi haraka sana badilisha mawazo, usiruhusu mawazo hayo yakupeleke mbali. Waza 'positivity'.

Wakati mwingine mawazo mabaya yanakuja yenyewe kichwani. Wewe acha yapite usiyafuatishe. Usiyape nafasi. Kama la, waza kitu chanya chochote.

Nawahurumia mno vijana wanaojitafuta, kesho yao ni giza zito. Wanataka maisha mazuri mbeleni ila zinaa na uasherati hawataki kuacha.

Lah! Nchi yangu!.

Kwa hiyo tutende mema "tunapojitafuta"? Baada ya hapo tuendelee na ufirauni? Ukishapata mafanikio, kuyatunza ni gharama kuliko kuyatafuta.
 
"Kataa udanganyifu na mitego ya 'so called' pisi kali. Kipindi hiki cha kujitafuta wewe kijana, waone washamba tu. 'Trust me, they're not such special', ni wanaume tu wanawa 'overrate' kwa kauli zao na hakuna kingine chochote.
"
 
Sipigi nyeto, pombe sinywi, siangalii mpira, bangi situmii, siyo mtu wa kwenda viwanja, kazi za watu zinafanya hadi kanisani sipati muda wa kwenda, kazi zangu haziruhusu kuongea sana niwapo kazini, sigara sivuti, game sichezi na wala sibeti kabisa..

HIVI unazani nisipo kuwa na mademu tukanyanduana nitaishije sinitakuwa zombi.

Kwa kweli niache na mademu zangu
 
Back
Top Bottom