Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

Watanzania tuna matatizo sugu. Badala ya kufanya kazi za kujenga nchi tumekalia kujadili watu. Subirini kampeni zikianza mtafanya kazi hiyo tena kwa mapana na marefu. Jamani mpaka lini ujinga huu?

Mkuu kuna aliyekunyima kutoa mada ya kujadili kitu kingine? Acha wivu mkuu
 
Kwanza napenda kukupongeza kwa uchambuzi huu ambao ni yakinifu halafu una mafundisho mengi sana.

1. Kwanza CDM ni chama chenye vision

2. CDM ina falsafa inayoeleweka, sio unafiki

3. CDM ina kanuni zinazotekelezeka, yaani kupitia katiba na miongozo yake

4. CDM katika mzingira haya yanadumisha nidhamu ya hali ya juu ndani ya chama kwa kuzingatia demokrasia

5. Inafanya kila kiongo kujua wajibu na nafasi yake ndani ya CDM

6. Inaondoa dhana ya chama mtu, na hivyo kila kiongozi anajua kuwa uongozi ni dhamana

7. CDM inahaha kudumisha nguvu ya umma kwa kila mbinu, chama cha wanachama kwa niaba ya umma.

Yapo mengi mengine yanayofanya CDM iwe na mshikamano wa hali ya juu.

Huu uzi umenikonga roho.
Hongera Dk Silah na Mk Mbowe.

Mkuu hata wewe umenikosha.Umemjazia mtoa mada pale palipopungua.Hongera sana
 
Ndugu siasa sio kama mchezo wa kiduku ukichuchumaa watu wanashangilia.

Kwa hiyo msipakane mafuta kwa mgongo wa chupa, sifa mnazowamwagia hawa jamaa ni sifa za kienyeji zaidi.

Mwisho wa siku mtasema Mbowe na DK Slaa, wanamzidi Obama, kwa siasa.
Umesmtua na Faizafoxy kuja kuongezea nguvu?
 
Wewe unasumbuliwa na na usemi wa Bendera hufuata upepo na wala huna data zozote. Ni wasomi wangapi wanaunga mkono CHADEMA? Unajua undani wa CHADEMA mpaka useme viongozi wake hawana migogoro? Slaa ni BMOWE ni kama X na Y kwa watu wa hesabu wanajua , mlinganyi kama Y =2x, Y inatemegea sana X ,Wale jama wanajuana na wanajua wanavyoitafuna CHADEMA. SLAA anaishi kwa fedha za CHADEMA, Mbowe anaidai Chadema madeni kibao na ni kama Mzabuni wa CHADEMA, sasa atawezaje kumkoromea Slaa ambaye ni mtendaji wa Chama? Hebu jikumbushe episodi ya ZITTO na Mbowe katika kugombea ukuu wa Chama hicho. Unajua chanzo cha kifo cha Chacha Wangwe?. Mimi usiniambie kabisa kuhusu hao Mabwanyeye. Ni kweli kwamba wamefanikiwa kufanya harakati mbalimbali kama Migomo vyuoni, migomo ya wafanyakazi n.k. Hivi siku wakifanikiwa kushika hatamu watajidai kwamba walikuwa wapiganaji au wachochezi? Uliza fukuto la upendeleo wa uongozi kwa wanawake katika Chama hicho. Unajua chizi anaweza kujifanya anajua sana mbele ya watu wenye akili zao akadhani yeye ndo basi kumbe wanamsanifu tu. Hakuna wasomi wanaokiunga mkono Chadema bali wanakiona kama kikundi fulani cha wasanii, si unajua wasanii wanavyoweza kushangiliwa kwenye majukwaa lakini siku ya siku JINA WASANII linatawafanya waendelee kuonekana wasanii tu.

Mkuu nafahamu chanzo cha kifo cha Chacha Wangwe.Ni wewe ndiye uliyemuua.
 
upuuzi mtupu hapo hakuna chochote cha maana alichochambua,eti nafasi ya mboe na slaa isiguswe au ndio namna ya uteteaji wa mfumo kristo ndio maana hutaki watoke kwy nafasi zao?
 
Mkuu,unastahili pongezi kwa muono wako makini na wenye maudhui mahususi.mafanikio ktk uongozi ni kuwa na watu makini.chadema wamefanyia kazi hilo na watafika mbali.
 
Sidhani kama kuna anayepinga kwa hili,labda awe na ukichaa asilimia 100 kichwani pake....na wapo humu subiri muone.
 
Mbowe alivyochoka akamwachia Slaa, huyu nae mwisho wake 2015 baada ya hapo 2020 mtaomba msaada kwa Mnyika,guess wt Zitto atakimbilia CCM
 
Ushauri wako umepokelew na wanachma wa CHADEMA, taarifa tu! wajibu wa kukijenga chama sio wa viongozi wa kitaifa tu, ni wanachama wote na tayari utekelezaji umeshaanza kila wanachma wilayani waendelee na michakato ya kufungua matawi kwa sababu hamna mbadala wa CCM zaidi ya CHADEMA. notoe wito kwa wananchi wote wanakerwa na mfumo uliopo tuungane kupitia CHADEMA, tusiogope, tusongembele pamoja tutafika tu.
 
Suala la Udini na Ukaskazini wamelishughulikia vipi?
Tukumbuke kabla ya hawa watu hawajaingia madarakani, siasa za Tanzania hazikuwa na chembe ya udini, hata kama hii dhana ilikuwepo, ilikuwa kwa kiwango cha chini sana.

Basi we umekuja juzi juzi tu hapa nchini,CCM ni vinara wa udini Tanzania kawaulize CUF walifanywa nini na CCM?usilete ushabiki wa simba na yanga hapa.
 
Hiyo ndo yenyewe so Keep up. Tuko pamoja na Najua wanamagamba Watalia Tu kuna mwisho unakuja Kwani hakuna malefu yasiyokua na ncha.
 
Acha kujidanganya hakuna lolote walilofanya hao wahuni uliowasifu.wameshindwa kueneza chama chao kwa kutumia hoja huko vijijini na mijini,tumeshuhudia ktk chaguzi ndogo wakitumia pesa nyingi kununua wapiga kura kwa kuwapa madebe ya pombe,siwaonei haya hata kidogo ni mafisadi tu Mbowe na Silaa wake.wameshindwa kueneza chama chao kuwa Cha Kitaifa kipo upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.unaudanganya umma kuwa wanaheshimika ndani ya chama chao umesahau Zito Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti wa Chama hicho na kuja na hoja nzito kuwa Mbowe ni Fisadi amekiuzia chama hicho magari kukuu?umesahau jopo la wazee likamsihi Zito asigombee?
 
this is waaaouhh...!! a nice analysis abt these Tanzanian notable figures Docto na Kamanda mkuu Mbowe.. asante sana mkuu.
 
Analysis nzuri sana fmpiganaji,
Changamoto ulizobainisha ndilo jukumu kubwa lililopo mbele yetu wanachadema wote.

Tukishirikiana tutaweza kujenga msingi imara sana wa chama ngazi za chini hasa maeneo ya vijijini ambayo kwa hakika yameonekana kuwa promising!
 
upuuzi mtupu hapo hakuna chochote cha maana alichochambua,eti nafasi ya mboe na slaa isiguswe au ndio namna ya uteteaji wa mfumo kristo ndio maana hutaki watoke kwy nafasi zao?

Hawa hawataguswa mkuu hata uhangaike vipi unajidanganya tu.Lengo lenu vibaraka wa magamba ni kuwaondoa kwenye nafasi zao hawa majabali lakini CDM tuko macho.
 
Back
Top Bottom