Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

Mimi pia sijui ku privete massage ninahitaji radio ya kutosha na plasma nisaidie nipo Dar kwa sasa
 
Habari zenu ,
Kwa wale wanaotaka vitu vifuatavyo kwa bei nzuri tutaftane,
KAMA UNA UHITAJI WA VITU HIVI NI PM,
1. Camera digital, za kisasa
Nimeweka picha muone ina range 80,000-200,000/
2 televisions ,
Inch 21-40 inaanza 250,000-400,000,

3. Printers
Canon, HP, zinapatikana na ni vema tukawasiliana,

4. Laptops
Aina zote zenye uwezo mkubwa, tshs 200,000- 500,000/=

5. Washing machines
Sonashi, automatic, semi automatic, west point , spin and drier ,
150,000-250,000/=

6. Magari aina zote
Hapa kuweni makin kidogo magari hayajasajiliwa
Bei , 3500,000-10,000,000/=

7. Simu smartphones
Hapa sisemi aina ni nyingi sana maana siwez kuzitaja zote,
Ila iPhone 5s 560,000/= Samsun galaxy note 500,000/-

8. Saws ,
Machine za mbao za umeme na mafuta, altendof, na aina nyingine,


9. Tractors ,
Hizi kwa ajili ya kilimo na kuvuna, combined harvester ,

10. Music system
Piano, keyboards, bands and other


Kama uko kwenye uhitaji wa vifaa hivyo tuwasiliane njoo PM

ELECTRA STREET, ABU DHABI, ROYAL PLAZA , MEZZANINE FLOOR, OFFICE NO , 201,
Hzo office znapatikana hapa hapa jijini au? Maana mejarbu tafuta hyo address naona inanipeleka nje kabsa
 
Hzo office znapatikana hapa hapa jijini au? Maana mejarbu tafuta hyo address naona inanipeleka nje kabsa
1475101666901.png


Hii street IPO dubai
 
Habari zenu ,
Kwa wale wanaotaka vitu vifuatavyo kwa bei nzuri tutaftane,
KAMA UNA UHITAJI WA VITU HIVI NI PM,
1. Camera digital, za kisasa
Nimeweka picha muone ina range 80,000-200,000/
2 televisions ,
Inch 21-40 inaanza 250,000-400,000,

3. Printers
Canon, HP, zinapatikana na ni vema tukawasiliana,

4. Laptops
Aina zote zenye uwezo mkubwa, tshs 200,000- 500,000/=

5. Washing machines
Sonashi, automatic, semi automatic, west point , spin and drier ,
150,000-250,000/=

6. Magari aina zote
Hapa kuweni makin kidogo magari hayajasajiliwa
Bei , 3500,000-10,000,000/=

7. Simu smartphones
Hapa sisemi aina ni nyingi sana maana siwez kuzitaja zote,
Ila iPhone 5s 560,000/= Samsun galaxy note 500,000/-

8. Saws ,
Machine za mbao za umeme na mafuta, altendof, na aina nyingine,


9. Tractors ,
Hizi kwa ajili ya kilimo na kuvuna, combined harvester ,

10. Music system
Piano, keyboards, bands and other


Kama uko kwenye uhitaji wa vifaa hivyo tuwasiliane njoo PM

ELECTRA STREET, ABU DHABI, ROYAL PLAZA , MEZZANINE FLOOR, OFFICE NO , 201,
Si ungeweka japo email yako?
 
mwenye ujuzi mfano kusafirisha tv flat 50' kutoka uk hadi dar ni kiasi gani acha gharama za manunuzi,na pia ushuru hapa Tz ni kiasi gani na gharama za utoaji(agent fee).
 
Ungeweka hizo bidhaa kila moja na bei yake, sasa wewe kila anekuuliza bei unamwambia aje PM tutakuja wangapi huko PM?? Kumbuka kua unaweza ukawa unamjibu mdau mmoja ikatokea mwengine akaridhika na jibu akawa interested na yeye.
Pia majibu ya PM hua mara nyingi hua yanakuaga hayaaminiki na wengi
 
_*Get used items from abroad*_

*Guaranteed Best Available Prices ...*
30% deposits, last payment on delivery

*Guaranteed All Mobiles Are Original*

_* Stock Prices!!*_

*Apple:*
iPhone 7 32GB Black - 1,600,000 TZS
iPhone 7 32Gb Gold - 1,420,000 TZS

iPhone 7 128GB Black - 2,200,000 TZS
iPhone 7 128GB Rose - 2,120,000 TZS

iPhone 7 Plus 32GB Gold - 1,800,000 TZS

iPhone 7 Plus 128GB Black - 1,850,000 TZS
iPhone 7 Plus 128GB Rose - 1,950,000 TZS

iPhone 6S 64 GB Gold - 1,310,000

iPhone 6S Plus 16 GB Silver/Gold - 920,000
iPhone 6S Plus 64 GB Gold - 1,000,000

*Samsung (2yrs Samsung Warranty)*
Samsung A3 2016 - 385,000 TZS
Samsung A5 2016 Pink Gold - 510,000 TZS
Samsung A7 2016 - 565,000 TZS
Samsung J1 Mini 2016 3G - 120,000 TZS
Samsung J1 Mini 2016 4G - 180,000 TZS
Samsung J1 Ace 3G -180,000 TZS
Samsung J1 Ace 4G - 180,000 TZS
Samsung J1 2016 3G - 200,000 TZS
Samsung J1 2016 4G - 255,000 TZS
Samsung J2 3G - 190,000 TZS
Samsung J2 4G - 205,000 TZS
Samsung J3 2016 3G - 185,000 TZS
Samsung J3 2016 4G - 270,000 TZS
Samsung J5 3G - 270,000 TZS
Samsung J5 4G - 305,000 TZS
Samsung J7 4G - 325,000 TZS
Samsung J7 2016 4G Black - 430,000
Samsung S7 - 800,000 TZS
N920 - 985,000 TZS
T285 - 295,000 TZS

Camera stocks,

Nikon p600 coolpix camera ..... 800,000

Nikon D5000 + 18-55mm .....750,000

Original Nikon D750 - Grand ..........5,000,000

EDGE X CAMERA INTOVA.........900,000

Nikon D5300...1,250,000

Canon EOS 5DSR 5DS R Digial Full Frame SLR Camera ... 2,000,000

Sony alpha 35....1000,000

Sony Digital Camera (DSC-w690)....70,000

Nikon D5000 SLR Professional Camera..........1100,000

Nikon D40....360,000

Canon 400D Camera.......650,000

Sony SLR Camera NEX-5.......400,000

Canon IXUS 130 Camera 14.1 MEGA PIXELS....100,000

Panasonic DMC-TS6R LUMIX WiFi Enabled Tough Advent...80000

Television
Lg 32".........320,000
----40".........360,000
----50"........550,000
Samsung
-------32" .....320,000
-------40"......360,000
-------50".......540,000
Toshiba
------32"......250,000
------40"......320,000

LCD
-----32".....250,000
-----40".....340,000

TCL
------32".....250,000
-----40".....340,000


Other used TVs available on best prices.

Washing machine's
West point
Manual.......250,000
Spin and drier....320,000

Sonashi
Automatic .....380'000
Semi automatic 360,000


Printers
Canon printers ...280,000

Epson. ....240,000

Hp medium size 98000
Kyocera 600,000

Heavy duty printing..........3,500,000

Combines scanning ,photocopying and printing machine......120,000


*For More Info Pls Kindly Call Or Whatsapp*
Napata mashaka na wewe maana hii msg hapa juu ni C&P kutoka huu uzi ambao ni wa mtu mwengine. Ye anasema yuko UK na wewe unasema uko AbuDhabi. Inakuaje bidhaa kutoka sehemu tofauti ziwe sawa kwenye bei??

Pata bidhaa kutoka nje ya Tanzania (ULAYA NA ASIA), malipo ni baada ya kupokea mzigo,
 
That's a good question, sijawahi kuwaletea watu dar mkuu na kwa research nlofanya cost yake kwa rav 4 haizid million 3
Dr hela yangu unakula hii, nataka hiyo LG flatscreen na PS4 kama unayo namna ya kulipa pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom