Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara.
Imebaki mifuko 400 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo.

Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
Kampuni Gani hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom