Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

That's a good question, sijawahi kuwaletea watu dar mkuu na kwa research nlofanya cost yake kwa rav 4 haizid million 3
Milioni tatu! Labda kipindi cha JK. Sasa hivi unapigwa milioni moja ya ujenzi wa reli unapopitisha gari bandarini, hiyo ni nje ya ushuru wa gari.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ndugu
Nakuomba utoe location inayoeleweka na namba zako za simu hapa maana wengine tutakuona tapeli coz hata mm naweza download picha nikaziweka hapa mtandaoni bila ya kuweka mawasiliano nikiwa na lengo la kuwapiga watu pesa huko PM....nasema hivi ili kama kweli wewe si tapeli ukifanya hivyo kwa kuweka mawasiliano yako hapa na mtaa ambao unapatikana eg. (Kariakoo, buguruni, msimbazi, posta.) Itakusaidia kupata wateja wengi zaidi kwa siku kwasababu biashara siku hizi ni matangazo na ukiweka contacts zako zenye usajili itakuwa na mashiko sana na kutoa hofua kwa wateja katika biashara yako.
Wako katika kazi,
[HASHTAG]#TRUMPLIZATION[/HASHTAG]
 
Ndugu
Nakuomba utoe location inayoeleweka na namba zako za simu hapa maana wengine tutakuona tapeli coz hata mm naweza download picha nikaziweka hapa mtandaoni bila ya kuweka mawasiliano nikiwa na lengo la kuwapiga watu pesa huko PM....nasema hivi ili kama kweli wewe si tapeli ukifanya hivyo kwa kuweka mawasiliano yako hapa na mtaa ambao unapatikana eg. (Kariakoo, buguruni, msimbazi, posta.) Itakusaidia kupata wateja wengi zaidi kwa siku kwasababu biashara siku hizi ni matangazo na ukiweka contacts zako zenye usajili itakuwa na mashiko sana na kutoa hofua kwa wateja katika biashara yako.
Wako katika kazi,
TRUMPLIZATION
 
Niliingiza nchini Rav 4 kili time model hiyohiyo kama ulizozibandika hapo juu, tarehe 3/9/2016, yaani ndani ya mwezi huu, Gari yenye plate namba ya DHF, Taxes nililipia 8,014,190 , shipping line & port charges 563,185. Kwa hiyo pengine ungerudia tena kufanya utafiti kwa kodi za Magari, ili utoe ushauri unaokaribiana na gharama halisi.
 
Ila kuhusu bei ya Gari , unabei nzuri saaana, kuliko niliyonunulia mie. Pengine Kwa sababu ya source ya kuzipata gari hizo
 
Mkuu, kweli nakataa kuwa kwa Rav 4, TRA wakuchune 3m tu bandarini?? Ni calculator gani watatumia? Ukubwa wa engine ni chini ya 600cc? Elimisha raia wafahamu.
 
Habari zenu ,
Kwa wale wanaotaka vitu vifuatavyo kwa bei nzuri tutaftane,
KAMA UNA UHITAJI WA VITU HIVI NI PM,
1. Camera digital, za kisasa
Nimeweka picha muone ina range 80,000-200,000/
2 televisions ,
Inch 21-40 inaanza 250,000-400,000,

3. Printers
Canon, HP, zinapatikana na ni vema tukawasiliana,

4. Laptops
Aina zote zenye uwezo mkubwa, tshs 200,000- 500,000/=

5. Washing machines
Sonashi, automatic, semi automatic, west point , spin and drier ,
150,000-250,000/=

6. Magari aina zote
Hapa kuweni makin kidogo magari hayajasajiliwa
Bei , 3500,000-10,000,000/=

7. Simu smartphones
Hapa sisemi aina ni nyingi sana maana siwez kuzitaja zote,
Ila iPhone 5s 560,000/= Samsun galaxy note 500,000/-

8. Saws ,
Machine za mbao za umeme na mafuta, altendof, na aina nyingine,


9. Tractors ,
Hizi kwa ajili ya kilimo na kuvuna, combined harvester ,

10. Music system
Piano, keyboards, bands and other


Kama uko kwenye uhitaji wa vifaa hivyo tuwasiliane njoo PM

ELECTRA STREET, ABU DHABI, ROYAL PLAZA , MEZZANINE FLOOR, OFFICE NO , 201,
me nataka TV flat screen inch 40 au 50 ila nisikufiche ukinitapeli ujue unaenda kunyea ndoo la nchuma ndugu yangu,sema kama zipo ni shilingi ngapi na ni aina gani zilizopo
 
_*Get used items from abroad*_

*Guaranteed Best Available Prices ...*
30% deposits, last payment on delivery

*Guaranteed All Mobiles Are Original*

_* Stock Prices!!*_

*Apple:*
iPhone 7 32GB Black - 1,600,000 TZS
iPhone 7 32Gb Gold - 1,420,000 TZS

iPhone 7 128GB Black - 2,200,000 TZS
iPhone 7 128GB Rose - 2,120,000 TZS

iPhone 7 Plus 32GB Gold - 1,800,000 TZS

iPhone 7 Plus 128GB Black - 1,850,000 TZS
iPhone 7 Plus 128GB Rose - 1,950,000 TZS

iPhone 6S 64 GB Gold - 1,310,000

iPhone 6S Plus 16 GB Silver/Gold - 920,000
iPhone 6S Plus 64 GB Gold - 1,000,000

*Samsung (2yrs Samsung Warranty)*
Samsung A3 2016 - 385,000 TZS
Samsung A5 2016 Pink Gold - 510,000 TZS
Samsung A7 2016 - 565,000 TZS
Samsung J1 Mini 2016 3G - 120,000 TZS
Samsung J1 Mini 2016 4G - 180,000 TZS
Samsung J1 Ace 3G -180,000 TZS
Samsung J1 Ace 4G - 180,000 TZS
Samsung J1 2016 3G - 200,000 TZS
Samsung J1 2016 4G - 255,000 TZS
Samsung J2 3G - 190,000 TZS
Samsung J2 4G - 205,000 TZS
Samsung J3 2016 3G - 185,000 TZS
Samsung J3 2016 4G - 270,000 TZS
Samsung J5 3G - 270,000 TZS
Samsung J5 4G - 305,000 TZS
Samsung J7 4G - 325,000 TZS
Samsung J7 2016 4G Black - 430,000
Samsung S7 - 800,000 TZS
N920 - 985,000 TZS
T285 - 295,000 TZS

Camera stocks,

Nikon p600 coolpix camera ..... 800,000

Nikon D5000 + 18-55mm .....750,000

Original Nikon D750 - Grand ..........5,000,000

EDGE X CAMERA INTOVA.........900,000

Nikon D5300...1,250,000

Canon EOS 5DSR 5DS R Digial Full Frame SLR Camera ... 2,000,000

Sony alpha 35....1000,000

Sony Digital Camera (DSC-w690)....70,000

Nikon D5000 SLR Professional Camera..........1100,000

Nikon D40....360,000

Canon 400D Camera.......650,000

Sony SLR Camera NEX-5.......400,000

Canon IXUS 130 Camera 14.1 MEGA PIXELS....100,000

Panasonic DMC-TS6R LUMIX WiFi Enabled Tough Advent...80000

Television
Lg 32".........320,000
----40".........360,000
----50"........550,000
Samsung
-------32" .....320,000
-------40"......360,000
-------50".......540,000
Toshiba
------32"......250,000
------40"......320,000

LCD
-----32".....250,000
-----40".....340,000

TCL
------32".....250,000
-----40".....340,000


Other used TVs available on best prices.

Washing machine's
West point
Manual.......250,000
Spin and drier....320,000

Sonashi
Automatic .....380'000
Semi automatic 360,000


Printers
Canon printers ...280,000

Epson. ....240,000

Hp medium size 98000
Kyocera 600,000

Heavy duty printing..........3,500,000

Combines scanning ,photocopying and printing machine......120,000


*For More Info Pls Kindly Call Or Whatsapp*
 
Mkuu hongera kwa kufanya unachokifanya. Nina swali moja hapo vipi kuhusu safety ya hiyo 30% ambayo utaitoa mwanzo

Namaanisha unalipia 30% kabla na nyingine umalizia mwisho sasa huo usalama wa hiyo upoje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom