Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

Sijajua Kwanini unaonekana kupanic, lengo ni kuwakumbusha watu kuwa makini wala sijakutaja wewe/mwandishi wa thread hii kama tapeli.
Biashara za kufanyika kishamba ninavodhani, sijui nini tatizo lako ila nimekusamehe.
Ok asante kwa kuwapa tahadhari watu, ila si kila anayefanya biashara anakuwa analengo unalodhani,

Hapa ulipaswa kuja na maswali ya kuuliza ukaeleweshwa siyo kuja na general assumption, najua waweza kuwa hujasemea kwa thread hii lakin pia ulipaswa kama una cha kuuliza zaidi ili kama kuna sehem uelewi utaeleweshwa,
 
Onyesha na bidhaa zingine basii,ili tupate kuona kusudi tutamani kununua,hasa simu na laptop.
1474921030813.jpg
1474921040602.jpg
1474921047791.jpg
1474921053254.jpg
1474921059863.jpg
1474921067268.jpg
1474921082347.jpg
 
Habari zenu ,
Kwa wale wanaotaka vitu vifuatavyo kwa bei nzuri tutaftane,
KAMA UNA UHITAJI WA VITU HIVI NI PM,
1. Camera digital, za kisasa
Nimeweka picha muone ina range 80,000-200,000/
2 televisions ,
Inch 21-40 inaanza 250,000-400,000,

3. Printers
Canon, HP, zinapatikana na ni vema tukawasiliana,

4. Laptops
Aina zote zenye uwezo mkubwa, tshs 200,000- 500,000/=

5. Washing machines
Sonashi, automatic, semi automatic, west point , spin and drier ,
150,000-250,000/=

6. Magari aina zote
Hapa kuweni makin kidogo magari hayajasajiliwa
Bei , 3500,000-10,000,000/=

7. Simu smartphones
Hapa sisemi aina ni nyingi sana maana siwez kuzitaja zote,
Ila iPhone 5s 560,000/= Samsun galaxy note 500,000/-

8. Saws ,
Machine za mbao za umeme na mafuta, altendof, na aina nyingine,


9. Tractors ,
Hizi kwa ajili ya kilimo na kuvuna, combined harvester ,

10. Music system
Piano, keyboards, bands and other


Kama uko kwenye uhitaji wa vifaa hivyo tuwasiliane njoo PM

ELECTRA STREET, ABU DHABI, ROYAL PLAZA , MEZZANINE FLOOR, OFFICE NO , 201,
Nimeshindwa kuku pm ila kama unaweza ni pm namba yako ya simu kuna kitu nakihitaji sana
Ok asante kwa kuwapa tahadhari watu, ila si kila anayefanya biashara anakuwa analengo unalodhani,

Hapa ulipaswa kuja na maswali ya kuuliza ukaeleweshwa siyo kuja na general assumption, najua waweza kuwa hujasemea kwa thread hii lakin pia ulipaswa kama una cha kuuliza zaidi ili kama kuna sehem uelewi utaeleweshwa,
 
umeshawahi kuwatolea wateja wako bandari ya dar? mara ya mwisho rav 4 kama hiyo nyeusi tra ulilipa kiasi gani?
wasiwasi wangu ni kama unajitolea na haupati faida.
Hapana siyo kujitolea faida IPO kubwa tena , inategemea stock imepatikana vip
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom