mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa
En y do some people do not want to share with otherY do some one ppl need have so many alias in here.? and they arent clever enough remain behind the shadow?
.
mkuu hii modem haiko unlocked kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kudownload hii program ya join air, ni pm ili nikupe maelezo mengine http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rarKWENYE TUTA (ZE BIG)
Zte
k3565-z
imei:353462042118310
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa
nakuheshimu mkubwa dr.phone,lakini nilikua nashauri kitu kimoja kaka,huyu jamaa may b ni mgeni au ni kaamua kubadilisha jina tu,kwasababu hizi post za ku-unlock modem zimejaa kila kona JF,lakini na yeye amekuja na same idea,may be amekuja na more new skills ambazo hazipo hivyo tumpe nafasi kwanza,pi natambua mchango wako wewe (dr.phone) na calvin power katika kusolve matatizo ya namna hii,lakiini pia kuna modem chache zimekosa majibu katika post zote,kwasababu mimi pia ni mfuatiliaji mzuri wa hiz post,mfano ni HUAWEI CDMA MODEM EC121,may be tumuulize jamaa kama ataweza?mods pls funga hii topic
Mkuu bila kusahau na Modemu ya ESOUND maana niliipost mpaka sasa naona kimya, hivyo huyu mwenzetu atusaidienakuheshimu mkubwa dr.phone,lakini nilikua nashauri kitu kimoja kaka,huyu jamaa may b ni mgeni au ni kaamua kubadilisha jina tu,kwasababu hizi post za ku-unlock modem zimejaa kila kona JF,lakini na yeye amekuja na same idea,may be amekuja na more new skills ambazo hazipo hivyo tumpe nafasi kwanza,pi natambua mchango wako wewe (dr.phone) na calvin power katika kusolve matatizo ya namna hii,lakiini pia kuna modem chache zimekosa majibu katika post zote,kwasababu mimi pia ni mfuatiliaji mzuri wa hiz post,mfano ni HUAWEI CDMA MODEM EC121,may be tumuulize jamaa kama ataweza?
I smell edjizzo aka chizi computer......
zantel vipi
Hi topic mkuu imekuudhi nini, kwani kosa langu nini mpaka mods afunge hii topic.Mbona hatutendeani hakimods pls funga hii topic
Acha kumuandama huyo kijana wewe huyu si edjizzo,I smell edjizzo aka chizi computer......
Hichi ndo kinatakiwa mkuunakuheshimu mkubwa dr.phone,lakini nilikua nashauri kitu kimoja kaka,huyu jamaa may b ni mgeni au ni kaamua kubadilisha jina tu,kwasababu hizi post za ku-unlock modem zimejaa kila kona JF,lakini na yeye amekuja na same idea,may be amekuja na more new skills ambazo hazipo hivyo tumpe nafasi kwanza,pi natambua mchango wako wewe (dr.phone) na calvin power katika kusolve matatizo ya namna hii,lakiini pia kuna modem chache zimekosa majibu katika post zote,kwasababu mimi pia ni mfuatiliaji mzuri wa hiz post,mfano ni HUAWEI CDMA MODEM EC121,may be tumuulize jamaa kama ataweza?
Mbona unauliza ukiwa kama unanitega, Tushirikiane mkuu sio kutestiana,hey mkuu unamaanisha nini unaposema "haiko unlocked" inamaana iko locked au ulikuwa unataka kuandika "haiko locked" but nice post. mkuu kuna modems za huawei ambazo zipo counter blocked yaani haziulizi tena kuweka unlock code huawei E1550. unaweza nipa maelekezo ya kuzifungua?