Unataka kuchakachua modem yako post kwa mkaa mweusi tatizo lako (ze big)

mkaa mweusi

Member
Jan 14, 2011
69
26
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa
 
Y do some one ppl need have so many alias in here.? and they arent clever enough remain behind the shadow?
.
 
hey mkuu unamaanisha nini unaposema "haiko unlocked" inamaana iko locked au ulikuwa unataka kuandika "haiko locked" but nice post. mkuu kuna modems za huawei ambazo zipo counter blocked yaani haziulizi tena kuweka unlock code huawei E1550. unaweza nipa maelekezo ya kuzifungua?
 
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster
Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili
Wahi sasa

acha kukurupuka yote haya tayari fanya mwendelezo acha kuihelemesha server bila sababu
 
mods pls funga hii topic
nakuheshimu mkubwa dr.phone,lakini nilikua nashauri kitu kimoja kaka,huyu jamaa may b ni mgeni au ni kaamua kubadilisha jina tu,kwasababu hizi post za ku-unlock modem zimejaa kila kona JF,lakini na yeye amekuja na same idea,may be amekuja na more new skills ambazo hazipo hivyo tumpe nafasi kwanza,pi natambua mchango wako wewe (dr.phone) na calvin power katika kusolve matatizo ya namna hii,lakiini pia kuna modem chache zimekosa majibu katika post zote,kwasababu mimi pia ni mfuatiliaji mzuri wa hiz post,mfano ni HUAWEI CDMA MODEM EC121,may be tumuulize jamaa kama ataweza?
 
Mkuu bila kusahau na Modemu ya ESOUND maana niliipost mpaka sasa naona kimya, hivyo huyu mwenzetu atusaidie
 
nakuheshimu mkubwa dr.phone,lakini nilikua nashauri kitu kimoja kaka,huyu jamaa may b ni mgeni au ni kaamua kubadilisha jina tu,kwasababu hizi post za ku-unlock modem zimejaa kila kona JF,lakini na yeye amekuja na same idea,may be amekuja na more new skills ambazo hazipo hivyo tumpe nafasi kwanza,pi natambua mchango wako wewe (dr.phone) na calvin power katika kusolve matatizo ya namna hii,lakiini pia kuna modem chache zimekosa majibu katika post zote,kwasababu mimi pia ni mfuatiliaji mzuri wa hiz post,mfano ni HUAWEI CDMA MODEM EC121,may be tumuulize jamaa kama ataweza?
Hichi ndo kinatakiwa mkuu
 
hey mkuu unamaanisha nini unaposema "haiko unlocked" inamaana iko locked au ulikuwa unataka kuandika "haiko locked" but nice post. mkuu kuna modems za huawei ambazo zipo counter blocked yaani haziulizi tena kuweka unlock code huawei E1550. unaweza nipa maelekezo ya kuzifungua?
Mbona unauliza ukiwa kama unanitega, Tushirikiane mkuu sio kutestiana,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom