mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
- Thread starter
- #41
Mkuu uko sawa maelezo nimeyatoa hapa na huu ndo mwanzo wa kujifunza,Sasa mkuu ulishajaribu kutumia hiyo DC UNLOCKER, Ukweli ni kuwa hii MODEM sina ila nilipata some idea hapo kwenye hiyo link, Mkuu naona tuzifanyie kazi hizo PatchMkuu maelezo uliyoyatoa yanafanana na haya hapa au ndipo ulipotoa hapa How to unlock the Huawei E1550 3G Modem | Kartonista kumbuka huyu aliyeandika hapa nae sio professional au expert. hii kitu imewaumiza sana vicha wale ma-guru. hii modem inafunguka kwa njia ya patch tu. customized firmware ni mpaka upate firmware ya ile iliyotumika kufungia then una flash only the required field. so far patch ambazo zipo on line ni IDEA india, Kyivstar Ukraine, na MTS (MTC) Ukraine pia. hata dc-unlocker ndizo wanaweza kufungua.
so haelezo yako hujayafanyia reaserch. umetoa tu huko na kuweka hapa bila hata kufanya utafiti. maana hata hao dc unlocker wana forum jaribu kusoma forum yao uone malalamiko kuhusu E1550.
dc-unlocker wana-support only zilizofungwa kwenye mitandao mitatu tu na wameziorodhesha. check hapa Dc-unlocker | list supported models producers features Huawei, ZTE