Unapajua hapa?

Bluray

JF-Expert Member
Mar 25, 2008
3,449
128
Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

5187d1246998916-unapajua-hapa-unapajua.jpg
 
Attachments

  • unapajua.jpg
    unapajua.jpg
    11.2 KB · Views: 925
hapa sio kanisa katoliki pale njombe kweli?
 
Maxi,
Hapo iwe isiwe ni MWANZA (Stone town). Hizo picha kama vile nimeshaziona kwenye GOOGLE EARTH.
 
Somewhere Mwanza hapo juu kwenye mawe ufukweni mwa Ziwa Victoria.
 
Mmechemsha, basi siongezi picha hapa mpaka vitendawili viwili juu viteguliwe
 
Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

5187d1246998916-unapajua-hapa-unapajua.jpg

Siyo kanisa katoliki Dodoma kweli? Imekuwa kitambo lakini.
 
Back
Top Bottom