Unapajua hapa?

Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

5187d1246998916-unapajua-hapa-unapajua.jpg
Hapo ni Ndanda mkuu,nimepita hapo 2 weeks ago na kuna sausage size ya mkono wa boxer!!
Kweli hii Abbey jamaa wamejizatiti kwa kilimo, shule na training schools za kila aina.
 
Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu?

Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school.

Mkuu Bluray, Ndanda haiko Peramiho,iko karibu na Nyangao as you travel from Lindi to Masasi.As I have posted earlier nilikuwa hapo about 12 days ago.
 

Attachments

  • masasi trip 037.JPG
    masasi trip 037.JPG
    715.8 KB · Views: 59
Back
Top Bottom