Unapajua hapa?

I know this area........nimeishi sana eneo karibu na hapo.......basi hata ile picha ya kwanza nimeanza kuikumbuka sasa......unajua tena ni siku nyingi

Wewe Ogah wewe, hilo jina lako si la Mwanza hili... Capri Point ulikuwa unacheza na dogo wenzako kwenye bembea za Tilapia hotel nini?!!
 
Nadhani ni Parokia ya Peramiho hiyo.

Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu?

Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school.
 
attachment.php

wapi hapa?
 
Attachments

  • kino.jpg
    kino.jpg
    42.6 KB · Views: 241
Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu?

Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school.

Call it netizenship tu.

BTW, je unapicha ya kanisa la zamani kuliko yote Bongo?!
 
Call it netizenship tu.

BTW, je unapicha ya kanisa la zamani kuliko yote Bongo?!

Not only Tanzania, but also East Africa. Unajua liko wapi Tanzania?

5208d1247153370-unapajua-hapa-oldestchurch.jpg
 
Attachments

  • oldestchurch.jpg
    oldestchurch.jpg
    42.7 KB · Views: 173
Eh, kumbe Ogah na SteveD nao wanapajua Capri Point?

...mimi nilikuwa navua gogogo, balala na nembe kwa ndoano pembezoni mwa ziwa wakati wakina Ogah wakiwa wanaletwa na ma Pajero kucheza pale Hotel Tillapia.... from time to time walikuwa wanarusha vitenesi kwenye maji na sisi ndiyo tulikuwa tunavivua na kuwarudishia!!!
 
Not only Tanzania, but also East Africa. Unajua liko wapi Tanzania?

Bagamoyo.

SteveD, nilikuwa nakwenda Capri Point kuwatembelea babu na bibi, kuna mtu yoyote amesoma Nyakaoja humu?
 
Bagamoyo.

SteveD, nilikuwa nakwenda Capri Point kuwatembelea babu na bibi, kuna mtu yoyote amesoma Nyakaoja humu?
Bagamoyo?!... daah, sikutarajia kwa kweli. Itabidi nifurumushe makabrasha kucheck historia..

Eclipz, kuhusu Nyakahoja itabidi ucheck na Masa wa Nilo anawajua watoto wengi wa mashefa wa mjini Mwanza. Mziba Yo Yo muulizie watu wa Kashazi na vimondo wa Kinondoni!!!
 
Na hapa wapi?

5209d1247163107-unapajua-hapa-obtahs.bmp
 
Attachments

  • obtahs.bmp
    300.9 KB · Views: 208
By the way guys, mimi nadhani ni bora mkiwa mnaweka picha moja kwa moja badala ya kutumia thumbnails pekee, au basi both thumbnails na picha kamili.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom