[
Kama ulikuwa na shida ya kujadili mada ya muungano ungekuja kule, unchokionyesha hapa ni kuwa ukweli umekuchukuza, siwezi kukusaidia. Aliyesema kuwa Karume hajuwi kingereza si mimi ni Prof. Shivji, ambaye silingani naye hasa na masula ya wapi Karume alitokea yalizuka ndani ya mjadala wenyewe na sikuyaleta mimi, nakushangaa unamsemea Dr. Slaa hapa JF wakati yeye ni memba, na ameshasema kuwa hana mpango wa kugombea urais, wanaompakazia ni CCM wanaotaka kuwachanganya wapiga kura wake. Labda wewe na hao wenzako hapo juu unaowaorodhesha ndiyo hao CCM wenyewe aliowasema Dr. Slaa. Mimi nimeleta mzaha tu kwa kuwa hii thread imekaa kimzaha mzaha, provided, kuwa msimamo wa Dr. Slaa unajuulikana na hakuna anayeshughulika tena.
Nafikiri huu mjadala wako unafanana na majadiliano hayo uliyoweka kwenye hiyo picha.
Hongera Dr. kwa kugundua mapema mpango wa sisiem lakini waache waendelee wewe endelea na mipango yako.
Wanajamvi samahani naomba nitoke kidogo kwenye mada hii, mimi nauliza tu kuna uhalali gani kwa mkuu wa mkoa kumfukuza mbunge mkutanoni na kumtishia kumuweka rumande? maana jana nimeona kwenye taarifa ya habari ya TBC1 Shekiffu (Mkuu wa mkoa wa Manyara), akimtisha na kumfukuza kwenye mkutano mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka!
Kama Dr. Slaa agombee urais wa JF mimi naona anafaa sana...nchi si lelemama nyie...Obama keshaota mvi tele kwa stress.
Ingependeza Kama Dr Slaa na Chadema vingewin Urais mwaka huu. Lakini sioni Mkakati.
Mkuu wangu Sikonge tatizo si kujiandikisha tu haichukui hata sekunde kumi kuandika jina lazima ufikirie kwanza kwanini unajiandikisha, ikiwezekana na sababu kama wengine wanavyofanya, ujue hata kutojiandikisha na kutoa sababu inakupatia wewe uliyeleta hii poll uelewa zaidi kuliko kutegemea one sided ambayo inaweza isikupe picha halisi, but all in all we are sailing in the same boat but different floors.Ulitakiwa ujuandikishe jina lako tu na au ujiondoe kimya kimya kwenye thread. Huoni umepoteza muda zaidi kwenye kuandika maneno hayo zaidi ya jina tu? Wiki lijalo, hao watakaokuwa wamejiandikisha, ntawaomba Mods wamtumie RASMI kwenye email yake ingawa nafahamu kuwa na yeye yuko hapahapa. Ungelisoma juu Mag3 na Shalom walivyochangia, ndiyo ungelielewa maana ya hii kitu. Kuna siku moja Mungu atakujalia na wewe uelewe.
ShalomLUteni,
Leo umenisikitisha sana kwa michango yako, Kwanza kama Dr amejua mipango ya CCM na wewe unamsupport hutakiwi kusema hadharani kwani unapeleka signal kwa hao wanaomtega kuwa amegundua. Pili wewe unaonekana mambo haya ni mageni kabisa, ili mtu agombee uraisi ina bidi yeye mwenyewe akubari na aingie kwenye nomination.
Alichofanya sikonge hapa ni kumwonesha Dr slaa kuwa kama atafikiria kugombea basi ajue kuwa kuna watu wengi wanamsupport na siyo kwamba wanamlazimishaagombee. sasa unaanza kutoa siri kama unazijua kweli au kuropoka kuhusu mambo ya Chadema!. Unaweza ku google na kuona vitu vingi vya aina hii vikifanyika duniani. Hata huyo socialist wako uliyemweka kwenye avatar yaka kama siyo wakina Harry Reid kumwambia kuwa wanamsupport pengine asingetia mguu kwenye kinyanganyiro.
Muda mweingiene sio lazima kutoa siri za chama ili uonekane kuwa ni mtu wandani.
Slaa anaweza kuvuna wagombea 100 kama akisimama kwenye urais au akaenda bungeni na wagombea wengine 15 akiamua kugombea
46. PascoLabda huyu Dr. Slaa anatakiwa KUAMSHWA. Nimeona tufanye SENSA ya haraka haraka humu ndani ya JF. Kwa wale wote wanaoona DR SLAA agombee mwaka huu basi hebu jiandikishie jina lako tuone mwisho wa wiki tutakuwa wangapi. Tujitokeze kwa wingi ili kumuonyesha Dr. Slaa anavyohitajika.
Dr. Slaa, samahani nimeamua kuanzia jina lako kwa makusudi kabisa maana JEMADARI lazima awe mbele na wengine watafuata.
1. Dr. Slaa 2. MKANDARA 3. King of kings 4. Masanilo kugema 5. Fidel80
6. Bht 7. Tanzania 8. Ndege ya Uchumi 9. Jiwe 10. Jakathesi
11. Technician 12. Kilembwe 13. Ndjabu Da Dude 14. Bollo Yeng 15. Selous
16. Nyamizi 17. Mfwatiliaji 18. Sikonge 19. Ben 20.Lorah
21. Chief 22. Alpha 23. Malunde-Malundi 24. Muhindi 25. Nanu
26. Betina 27. Baija Bolobi 28. Epigenetics 29. Member 911 30. Mlalahoi
31. Mag3 32. Nndondo 33. Tai Ngwilizi 34. Sn2139 35. Shalom
36. Mc 37. Firstlady1 38. Henge 39. Nemesis 40. Mchili
41. Ngambo Ngali 42. Positive Thinker 43. Advocate Jasha 44. Zhule 45.
Labda huyu Dr. Slaa anatakiwa KUAMSHWA. Nimeona tufanye SENSA ya haraka haraka humu ndani ya JF. Kwa wale wote wanaoona DR SLAA agombee mwaka huu basi hebu jiandikishie jina lako tuone mwisho wa wiki tutakuwa wangapi. Tujitokeze kwa wingi ili kumuonyesha Dr. Slaa anavyohitajika.
Dr. Slaa, samahani nimeamua kuanzia jina lako kwa makusudi kabisa maana JEMADARI lazima awe mbele na wengine watafuata.
1. Dr. Slaa 2. MKANDARA 3. King of kings 4. Masanilo kugema 5. Fidel80
6. Bht 7. Tanzania 8. Ndege ya Uchumi 9. Jiwe 10. Jakathesi
11. Technician 12. Kilembwe 13. Ndjabu Da Dude 14. Bollo Yeng 15. Selous
16. Nyamizi 17. Mfwatiliaji 18. Sikonge 19. Ben 20.Lorah
21. Chief 22. Alpha 23. Malunde-Malundi 24. Muhindi 25. Nanu
26. Betina 27. Baija Bolobi 28. Epigenetics 29. Member 911 30. Mlalahoi
31. Mag3 32. Nndondo 33. Tai Ngwilizi 34. Sn2139 35. Shalom
36. Mc 37. Firstlady1 38. Henge 39. Nemesis 40. Mchili
41. Ngambo Ngali 42. Positive Thinker 43. Advocate Jasha 44. Zhule 45.
Sikonge quote me right am not against the move am pro Slaa and Chadema for so long time and nobody can change me about it and I think most of the members know that na sisemi kuwa akiteuliwa kugombea sitampigia kampeni ila ninachosema let him be free to decide, kama ulivyosema hata tukijiandikisha elfu kumi leo, kesho akakataa we have nothing to lose but why begin losing today. Ndiyo najua kwamba most of politicians sometimes NO means YES and vice versa yeye mwenyewe Dr. kasema NO sasa sijui tuilazimishe iwe YES, ofcourse am confused help me.Luteni,
Kuna wengi sana walimwambia Obama asigombee. Angeliwasikiliza basi angeliula wa chuya. Ilipotokea kuwa USA kuna matatizo ya Uchumi, Wazungu wenyewe wakaanza kuangalia ni nani ana akili kuweza kusafisha hii hali na si nani ataweza kwenda kurusha mabomu Uarabuni.
Inawezekana sisi hatuko sawa, ila wewe unapendekeza nini? Si uanzishe thread yako na sisi tuje tuone mawazo yako yakoje? Au ndiyo unaleta ya John Mashaka na Dr. Shayo sijui? Shayo yeye ni kuja kukashfu tu maoni ya John Mashaka, ila yeye hata siku moja haanzishi yake. Huo ni uvivu wa kufikiri. Unachokiogopa hasa ninini? At the end of the day WE HAVE NOTHING TO LOOSE.