Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

mmmmm watu wengine kweli wamefilisika ,What is 4% mtashangaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sio kwamba Dr Slaa anaweza kumshida JK tu bali pia hata kuwaanusha sisiemu wote. Watanzania ifikesehemu tujue Mtu kaita wafanyakazi mbayuwayu kweli huyo anataka kura zetu? Acha waendelee kuvunja katiba lakini mwaka huu sisiemu watashangaa. Wameshaanza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio cha kumtambulisha mgombea vyama vingine vikifanya hivyo haramu. Tunajua mengi sana uliyoyasema Dr. lakini kubwa kuliko yote ni pale ulipokataa wabunge wasiongezewe posho kwa kuwa zilikuwa kubwa zaidi. Ikumbukwe na wewe ulikuwemo! Kura yangu umepata nasubiri tu nimjue mmbunge ni nani hapa ili nae nimchague.
 
Positive Thinking!! Sijui kwa nini watu tena wasomi wa JF bado hawaamini kuwa JK anaweza kubwagwa. Nafikiri hiki kizazi kilichopitia JKT (mimi mmoja wao) kinatulet down sana. Anyway, nini hakika watu kumi kwenye famila yetu watampigia Slaa. Sasa kama kila mtu akifanya bidii CCM inang'oka kirahisi tu. Ndiyo walivyofanya wenzetu wa Kenya kuing'oa KANU. Kama kweli rais anaweza kuwatukana wafanyakazi, tena wa serikali, huyo kweli bado anafaa kuliongoza hili Taifa??

Bwana Sikonge, ongeza Mr. Zero kwenye list
 
Unajua sielewi Watanzania wanataka nini. Kama kweli tunajua tunashida na tunahitaji kupona, hatuna option zaidi ya Dr. Slaa. In fact niko nje na bahati mbaya sikujiandikisha kupiga kura kwasababu niliplan sintakuwepo. Lakini sasa najutia kwanini sikujiandikisha, maana ni vunja ratiba yangu angalau niongeze kura yangu. Hata nitataufuta kura zingine kwa ndugu na jamaa.
 
Back
Top Bottom