Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,585
- 93,273
Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?
Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.
Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.