Unafiki wa CCM huu hapa, ni lini Uchaguzi ngazi ya Taifa unafanyika!?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
55,769
90,447
Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?

Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.
 
Unataka chama tawala kiige mifumo ya wapinzani? chama tawala kina taratibu zake za kumpata mwenyekiti.
 
Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?

Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.

Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
 
Mbona hata umri wake ni kikwazo au hilo hamlioni?
 
Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!

Unaumwa tumbo....tetea chama chako.....nape kwa kuweka makanjanja mitandaoni...angeweka vichwa labda vingemsaidia.

Hopeless.
 
nafikiri katiba ya magamba inasema rais ndiye atakuwa mwenyekiti wa chama kwa mda wote akiwa rais..katibu anateuliwa na mwenyekiti...what a democracy!!!!
 
Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
Na misukule ya masopakyindi inasemaje juu ya kugombea Urais kulingana na matakwa ya katiba?
Nimesikia misukule hiyo ikidai mswahili Zitto apate nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya Uraisi ataisinginya katiba - very lawful indeed!
 
Na misukule ya masopakyindi inasemaje juu ya kugombea Urais kulingana na matakwa ya katiba? Nimesikia misukule hiyo ikidai katiba ya Tanzania ibadilishwe ili Zitto apate nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya Uraisi ataisinginya katika - very democratic indeed!

Mkuu Mag3, mleta mada kaanza andishi yake with a degregatory opening ambayo inapunguza hata hadhi ya mjadala.
Tukianza kuitana misukule ndo tunaanza ku-realize hata masopakyindi na mtoa mada ni misukule,the walking dead.

Reduces thinking into a snails pace, for want of a hit back instead of reasoning!

Demokrasia si reserve ya chama chochote, tumemsikia jana Mzee Mzima Fredrick Sumaye akilalamika demokrasia inavyoporwa ndani ya chama cha Mapinduzi na watu wenye pesa zao,malalamiko ambayo yana resonate na watu wanyonge.
Ndani ya CHADEMA ,mfano wa Zitto ni kitanzi cha demokrasia, everybody has his or her own right to be elected and to elect.

Wana JF tukiargue on those lines, tunaweza kupanua our intellectual capacities.
Tukikaribisha umisukule reasoning, we should know better!
 
na misukule ya chadema inasemaje juu ya demokrasia ya urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
wewe popo umeulizwa kuhusu magamba,sema jibu sio swali.
 
wewe popo umeulizwa kuhusu magamba,sema jibu sio swali.
Common sense dictates that, ukifikiri kidogo tu,na ukalipatia jibu swali langu, basi hata swali la awali utakuwa umelijibu.
Somebody said , mamajack, common sense is not so common!!!
 
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana muulize sumaye ata kwambia hiki chama kilivyo! Hakuna demokrasia sisimweli haija wai kutokea!
 
Common sense dictates that, ukifikiri kidogo tu,na ukalipatia jibu swali langu, basi hata swali la awali utakuwa umelijibu.
Somebody said , mamajack, common sense is not so common!!!
to hell with your senseless arguing.
.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom