Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,459
michelle mbona ilo domo umeliminya sana, yaani kama umelipaka nnya vile...umeona nini?Mi huwa napata kilaji kama nimem-miss sana, lakini kilaji kikikolea ndo nnam-miss zaidi.
michelle mbona ilo domo umeliminya sana, yaani kama umelipaka nnya vile...umeona nini?Mi huwa napata kilaji kama nimem-miss sana, lakini kilaji kikikolea ndo nnam-miss zaidi.
Nikim-miss nimpendae naenda kwa MICHELLEnikimmiss nimpendae nakuja JF,nachangia hoja wee hadi nipate usingizi nilale.....idumu JF,imenisaidia sana kwa mengi!
michelle mbona ilo domo umeliminya sana, yaani kama umelipaka nnya vile...umeona nini?
Halafu what next baada ya kumiss zaidi??
nikimmiss nimpendae nakuja JF,nachangia hoja wee hadi nipate usingizi nilale.....idumu JF,imenisaidia sana kwa mengi!
siku hizi hakuna kumisiana kuna simu,video calling raha tupu...mnh:A S 13::wink2:
Join Date : 19th February 2011
Location : Dar
Posts : 34
Thanks 12
Girlie girlie, umejiunga leo tayari umeshaweka posts 34, hongera!
After 24 hours utakuwa umevunja record ya kuweka posts per day.
Rep Power : 0
imagine after a year!
nikimmiss nimpendae nakuja JF,nachangia hoja wee hadi nipate usingizi nilale.....idumu JF,imenisaidia sana kwa mengi!
Mi huwa napata kilaji kama nimem-miss sana, lakini kilaji kikikolea ndo nnam-miss zaidi.
Umpendae, sio uwapendao.MI UZURI WNGU WAPO WATATU IVO NIKIMMIS MMOJA NAENDA KWA MWINGNE KUJILIWAza. YAN MISING ZOTE ZNAISHA
Umpendae, sio uwapendao.
Hivi umpendae unamiss machakachuzi peke yake?
Strange!
Ehh wanawake wamepata mtetezi?
Mbona unaniuliza mimi wakati sio mwenye shida?kumu miss kivp? Akiwa safari? Au haujaonana nae siku kadhaa? Anaumwa? Anamsiba kwao? Kaenda kazni? Au akiwa vp?? Weka waz Mada ueleweke,mana hujasomeka.
Mbona unaniuliza mimi wakati sio mwenye shida?
Master b!
Master b!