Unaweza kufa kwa ajili ya umpendae

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Mar 3, 2023
16,797
51,966
Nimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)

Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua kwamba binadamu unaishi mara moja tu, hivo hamna cha muhimu zaidi ya uhai wako binafsi.....

Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi

Tuambizane je uko tayari kufa kwa ajili ya umpendae? Sio lazima mpenzi, hata wazazi, ndugu au marafiki wa karibu....
 
Nipo tayari kufa kwa ajili ❤️❤️❤️ ya BIBI yangu tu
 
Mimi kufa kwa sababu ya hwa feminist HAPANA. Hata awe mwanamke mwenye tabia nzuri kuliko wote duniani ni NO.

Kujiua ni upumbavu pro max plus
 
Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi
emoji23.png
hahahahahah mkuu sio huelewi elewi sema huwezi.

Kwahiyo ikitokea mmoja inaamriwa afe kati ya wewe na maza ako we utamsontea kidole mama yako
 
Ni story ndefu sana ila nampenda kuliko mtu mwingine yoyote duniani amenisaidia sana kwenye nyakati ngumu walahi kama sio yeye leo hii ningekuwa naokota makopo sokoni

Mungu azidi kumbariki tu
Ila kweli....nahisi unatakiwa ukubali kufa kwa ajili ya yule ambaye na yeye yuko tayari kufa kwa ajili yako......
 
Moyo ndo unaongea japo kila mtu na kifo chake. Ila kujitoa uhai sio jambo poa kabisa. Sisemi siwezi kufa nawala sisemi mtakufa kwa sababu iyo ila naomba mungu aniepushe na vifo vya ajabu. Amin
 
Nimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)

Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua kwamba binadamu unaishi mara moja tu, hivo hamna cha muhimu zaidi ya uhai wako binafsi.....

Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi

Tuambizane je uko tayari kufa kwa ajili ya umpendae? Sio lazima mpenzi, hata wazazi, ndugu au marafiki wa karibu....
Kwa ajil ya wazazi na ndgu zangu wa tumbo moja nipo tyr
 
Sasa nikisha kufa ataendelea vip kuuona upendo wangu? Nikifa kwa ajili ya ninae mpenda nitakuwa simpendi kwel kwa sababu furaha yake ni kuona naishi uku nikiendelea kumpenda.
 
Back
Top Bottom