Jibu lipi zuri kwa mtu aliyekwambia “I miss you” na wewe kiuhalisia hujammiss?

mwipwa

Senior Member
May 25, 2018
102
255
Salamu kwenu wapwa,

Nadhani hata wewe imewahi kutokea hii sometimes, kuna muda inatokea unaambiwa “I miss you” na mtu ambae kiuhalisia hata hujammiss; yawezekana akawa mpenzi, Ex, rafiki au ndugu.

Hii ni kwa sababu ukijibu tu “I miss you too”unajua kuna kitu kinafuata na wewe hutaki kitokee na haitakufanya ujisikie vizuri kwa sababu umepretend una mmiss lakini kiuhalisia haujammiss, na endapo utajibu “I don’t miss you” utaonekana jeuri!

Huwa unajibu vipi ili kumfanya asijikie vibaya na bila kuharibu uhusiano wenu?N

a pia kama akikikuuliza “Do you miss me?“ Njia ipi rahisi ya kumkwepa ?
 
Achen kutesa hisia za watu nyie, mkome na hiyo tabia..

Hatakama hujammis ni bora udanganye kulko kumwambia ukwel mchungu utakaommaliza ama kumuumiza, iko wazi binadamu wa kizazi hik ni very weak in emotion, unapomuumiza anaweza chukua maamuzi magumu na matokeo utayajutia ww.

Narudia kama humtak, mpotezee kulko kumpa shit na majibu ya kipuuzi puuzi.
 
Before, tujue kwanza "I miss you" inamaana gani na inafaa kutumika wakati gani!

"I miss you" means "Ninakukosa"

Na inatumika wakati;
1. Kama yuko mbali na wewe

2. Kama amepanga njama za kukufanyia kitu kibaya ambacho kitafanya uwe mbali na yeye.

3. Kama amekaa muda mrefu hamjafanya chochote kitu. 😁

Na mengine mengi! 🙌🏾

So, mtu akikuambia "I miss you", we muulize "How?".
 
Before, tujue kwanza "I miss you" inamaana gani na inafaa kutumika wakati gani!

"I miss you" means "Ninakukosa"

1. Kama yuko mbali na wewe

2. Kama amepanga njama za kukufanyia kitu kibaya ambacho kitafanya uwe mbali na yeye.

3. Kama amekaa muda mrefu hamjafanya chochote kitu.

Na mengine mengi!

So, mtu akikuambia "I miss you", we muulize "How?".

Hii mpya alooh

Anyway naongelea hisia zaidi (emotions)..
 
Achen kutesa hisia za watu nyie, mkome na hiyo tabia..

Hatakama hujammis ni bora udanganye kulko kumwambia ukwel mchungu utakaommaliza ama kumuumiza, iko wazi binadamu wa kizazi hik ni very weak in emotion, unapomuumiza anaweza chukua maamuzi magumu na matokeo utayajutia ww.

Narudia kama humtak, mpotezee kulko kumpa shit na majibu ya kipuuzi puuzi.
Na kwanini umdanganye?
 
Back
Top Bottom