Epuka maneno haya wakati wa tendo la ndoa

NIPOSINGO

Member
Jul 24, 2022
11
39
Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo.

Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta lugha nzuri, laini ya kuwasilisha ujumbe huohuo.

1. Haufanyi vizuri kama…
2. Mimi sipendi hivyo unavyofanya
3. Unaniumiza
4. Usiniguse hivyo
5. Sio hivyo
6. Mi bado
7. Sio hapo
8. Hivi unafanya nini?

Chanzo: Chris Mauki
 
hivi kweli mwanaume kamili wa mkoani ampelekee motro manzi wake huo muda wa hayo maneno atautoa wap 🐒
 
nyie kwani huwa mnatyombaje hadi mwanamke apate muda wa kukuongelesha zaidi ya kutoa milio ya mhaba au mimi kjna sehemu huwa nakosea...

maana nikianza kumpelekea moto hadi nihakikisha maji yote yamemkauka ndio naanza sasa kulitafuta goli ili na mimi nifunge🤣🤣🤣​
 
Back
Top Bottom