Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Chakula ni kitu muhimu kwa vyote, chakula ktk mapenzi chaleta joto na kutia hamasa baina ya wapenzi! Pasipo chakula sita kwa sita ni tatizo, watoto kupatikana ni ndoto then posibility ka kupoteza nguvu kazi ni kubwa!
 
Nije saa ngapi umesema?......... Yaani nshanenepa kabla sijala.... mbona wanifanyia kusudi mpaka babu nadondosha udenda mbele za watu? nyam nyam nyam........ I salute you Ashadii. You are the best cook in the world... I can swear if you ask.

Na hiyo bold hapo....... who is the luckiest guy?........ nahisi kumwonea wivu flani hivi.....

Jamani babu mbona wanitega hali you know him.... Dah!..lol
 
Chakula ni kitu muhimu kwa vyote, chakula ktk mapenzi chaleta joto na kutia hamasa baina ya wapenzi! Pasipo chakula sita kwa sita ni tatizo, watoto kupatikana ni ndoto then posibility ka kupoteza nguvu kazi ni kubwa!

ha ha ha.... Gagurito.... Kweli sina la kusema....lol
 
Chakula ni kitu muhimu kwa vyote, chakula ktk mapenzi chaleta joto na kutia hamasa baina ya wapenzi! Pasipo chakula sita kwa sita ni tatizo, watoto kupatikana ni ndoto then posibility ka kupoteza nguvu kazi ni kubwa!
Aisee!....

Angalia sana mkuu. Na ukila sana chakula bado kwenye sita kwa sita inakuwa tabu nyingine.....
 
Nshazeeka, hebu nikumbushege kwa PM. Sijui kama nlishakamata mahari ya kutosha.

Am jeolous..... even in recipe givings LOL

Ashadiii wamwona huyu mchokozi?

Babu usijali naku pm... alafu leo akija natupa lawama hajanitambulisha vizuri...
Alafu don't be jealous hata akipika haitafikia nitacho kupikia...lol

Alafu huyo Mentor wewe muache tu naona dawa yake yachemka....lol
 
Aisee!....

Angalia sana mkuu. Na ukila sana chakula bado kwenye sita kwa sita inakuwa tabu nyingine.....

Ilo sasa.. alafu shida yake sometimes unaweza usione hapo hapo but
in the long run, inasumbua saana maana ilo tendo ku enjoy you
have to want it sio tu mambo ya obligation... na hakuna kitu uharibu sometimes kama food...
 
Aisha is it you hapo katika Avatar?? If indeed it is you HONGERA for your guts...
and you look beautiful dear... Thanks for acknowledging my post...
Kinda ask the same question.. yaani amekaa ki-Asha Asha kabisaaa. Yaani kama wewe vile.

Babu usijali naku pm... alafu leo akija natupa lawama hajanitambulisha vizuri...
Alafu don't be jealous hata akipika haitafikia nitacho kupikia...lol

Alafu huyo Mentor wewe muache tu naona dawa yake yachemka....lol
Niko kwenye inbox huku........ na mawani yangu. Huyo Mentor tumwombee njaa. Anatutafutia ubaya katika familia yetu.
 
Ilo sasa.. alafu shida yake sometimes unaweza usione hapo hapo but
in the long run, inasumbua saana maana ilo tendo ku enjoy you
have to want it sio tu mambo ya obligation... na hakuna kitu uharibu sometimes kama food...
Aisee leo umeamkia upande upi? Mbona unatoa mapointi kama unamwaga lekcha ya Mastaz Of Sayansi in Cooking Technology (Edukesheni)
 
Babu usijali naku pm... alafu leo akija natupa lawama hajanitambulisha vizuri...
Alafu don't be jealous hata akipika haitafikia nitacho kupikia...lol

Alafu huyo Mentor wewe muache tu naona dawa yake yachemka....lol

Jamani babu uchokozi nimetoa wapi!?? niliuliza tu kujua...
Maana wewe babu mtata sana, sisi wajukuu zako wa kiume inatubidi wakati mwingine tuulize kama hawa ni Wajukuu ama 'wajukuu' tusijegongana na babu yetu mpendwa...ama nimekosea mbe!??

Ashadii, babu anajua kwa nn nimeuliza..
 
Mi bana ni babu wa wajukuu zem geloz. Nyie zem boyz mna utata sana. Mnaniombea nife ili haka kabaisko kangu mkauze mkanywee pombe. Hawa wa kike wakiolewa wanawachuna waume zao afu wanamtumia babu yao hela ya udoro na kununulia mkongojoz..... si eti Ashadii eh?
 
Kinda ask the same question.. yaani amekaa ki-Asha Asha kabisaaa. Yaani kama wewe vile.

Niko kwenye inbox huku........ na mawani yangu. Huyo Mentor tumwombee njaa. Anatutafutia ubaya katika familia yetu.

Usijali babu sasa hivi pm inafika bila shida... Alafu huyo hapo mtoto sana bana mimi mmama....lol
Alafu kuhusu Mentor.... Babu soma signature yangu maana nime badilisha....

Never hate your enemies. It affects your judgement - Mario Puzo/God Father

Aisee leo umeamkia upande upi? Mbona unatoa mapointi kama unamwaga lekcha ya Mastaz Of Sayansi in Cooking Technology (Edukesheni)

Babu naona ni Breakfast ya nguvu nilopata mpaka lunch nimeshiba
alafu na chakula ya huyo mjukuu asubuhi... hufanya wonders for my brain...lol
 
Jamani babu uchokozi nimetoa wapi!?? niliuliza tu kujua...
Maana wewe babu mtata sana, sisi wajukuu zako wa kiume inatubidi wakati mwingine tuulize kama hawa ni Wajukuu ama 'wajukuu' tusijegongana na babu yetu mpendwa...ama nimekosea mbe!??

Ashadii, babu anajua kwa nn nimeuliza..

Hapo sasa ndio unaharibu.... kua najua kwanini umeuliza... au i have misunderstood?? lol
 
Usijali babu sasa hivi pm inafika bila shida... Alafu huyo hapo mtoto sana bana mimi mmama....lol
Alafu kuhusu Mentor.... Babu soma signature yangu maana nime badilisha....

Never hate your enemies. It affects your judgement - Mario Puzo/God Father

Babu naona ni Breakfast ya nguvu nilopata mpaka lunch nimeshiba
alafu na chakula ya huyo mjukuu asubuhi... hufanya wonders for my brain...lol
Orayt...........niko Inbox huku. Nasubiria maPM. Usimwambie mtu. Wakiniulizia waambie nimekufa. Sawa eh?
 
...Asha Dii asante sana kwa darasa hili. Binafsi napendelea balance ya mahanjumati na chukuchuku,
maana wengine jamani tupo kwenye 'bordeline,'....tukiendekeza mahanjumati kidogo tunalipua magonjwa ya BP na kisukari. Naamini pia, ni wajibu wangu na Bi Mkubwa kuhakikisha tunakuwa na mpangilio mzuri wa Vyakula na Muda wa kula.

Ahsante sana.
 
Mi bana ni babu wa wajukuu zem geloz. Nyie zem boyz mna utata sana. Mnaniombea nife ili haka kabaisko kangu mkauze mkanywee pombe. Hawa wa kike wakiolewa wanawachuna waume zao afu wanamtumia babu yao hela ya udoro na kununulia mkongojoz..... si eti Ashadii eh?

Ndio Babu...lol.. ila sasa umechanganya kidogo maana nimchunae ni mjukuu wako...lol
 
Back
Top Bottom