TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,818
- 11,193
she is a darling, isn't she??Ashadii bana..........khaa!
she is a darling, isn't she??Ashadii bana..........khaa!
aiseeee....:smow:Orayt...........niko Inbox huku. Nasubiria maPM. Usimwambie mtu. Wakiniulizia waambie nimekufa. Sawa eh?
Mi bana ni babu wa wajukuu zem geloz. Nyie zem boyz mna utata sana. Mnaniombea nife ili haka kabaisko kangu mkauze mkanywee pombe. Hawa wa kike wakiolewa wanawachuna waume zao afu wanamtumia babu yao hela ya udoro na kununulia mkongojoz..... si eti Ashadii eh?
You can say that again, pal. Super dearest.she is a darling, isn't she??
Hapo sasa ndio unaharibu.... kua najua kwanini umeuliza... au i have misunderstood?? lol
...Asha Dii asante sana kwa darasa hili. Binafsi napendelea balance ya mahanjumati na chukuchuku,
maana wengine jamani tupo kwenye 'bordeline,'....tukiendekeza mahanjumati kidogo tunalipua magonjwa ya BP na kisukari. Naamini pia, ni wajibu wangu na Bi Mkubwa kuhakikisha tunakuwa na mpangilio mzuri wa Vyakula na Muda wa kula.
Ahsante sana.
Inauma sana aisee!aiseeee....:smow:
that is 'super darling' mazeeYou can say that again, pal. Super dearest.
Na hilo ndilo neno la Mungu. Nawe Ubarikiwe sana Mentor.sidhani kama umenipata vyema. Me n babu go back to the times of Lizzy n babygal n daughter n the like.
Babu ni mwongozo tu nnaotaka from thee...noting else..LONG LIVE BABU ASPIRIN!!!
hii MEMKWA hii, ngoja tukaitengenezee barbeque na yohanna mtembeziInauma sana aisee!
Aisee unataka kuniondolea appetite? Lunch time hii ujue.that is 'super darling' mazee
eniwei, nimemuomba awe wifi yangu bhana ili siku moya nipeleke ile toto FF bombay kupata hanymun kidogho
hiyohiyo bhana, kwetu ii kitu wifi sijui shemeghi yote changanya changanya mimimmmmh!! speculating... wifi tena?? not shemeji?? lol
Yanga wameumisa sana moyo wangu asee!... kama si msosi wa Ashadii, ningeshaRIP.hii MEMKWA hii, ngoja tukaitengenezee barbeque na yohanna mtembezi
apetaiti huwa haiondolewi na apetaiti aisee... ntakurudisha kule mtaa wetu wa primary tuone kama itaondokaAisee unataka kuniondolea appetite? Lunch time hii ujue.