Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

pal

ukishaweka hizo "principles" kwenye relationship, automatically inakua cold

I dont mind the needful even at the first minute we are together as long as it is spontaneous and sweet

haya ya kuvuta subra yanaongeza sana nafasi ya optional analysis

Katika relationships and sex hakuna kitu kinalipa kama spontaneity... but
MTM naamini mara nyingi kuna ile shy attitude hasa for the lady's side on
being spontaneous on a first date... na unajua the way anxiousness ina kimbiza
mzuka during the act... ndio mwaweza fanya hivyo ila in rare cases... And Frankly
speaking kuna zile unwritten beliefs za going third base on a first date...
bora isiwe hata date - ionekane ilikua spontaneous in places kama garin or wherever...
 
Asha, bado naendelea kusisitiza hapa,,
mie wa uswahilini naona mnaniacha mbali kweli,
nilikwambia toka mwanzo lakini, haya bana...............................
 
Asha, bado naendelea kusisitiza hapa,,
mie wa uswahilini naona mnaniacha mbali kweli,
nilikwambia toka mwanzo lakini, haya bana...............................

Bacha naomba nijibu post number 33 kwanza... alafu tuelewane...lol
 
Mimi naamini chakula chochote kile ni maandalizi Mentor...
ila tu with ugali you have to be extra careful the type of mboga
una provide pamoja na side plates vitu vya kuweka... BUT..
bana ukipikwa kienyeji lazima u mind...lol

kwa kweli siwezi confirm ubora wa alivyompikia but ilikuwa ugali samaki...i love anythng with fish, so nilimshangaa huyu demu alivyokataa ugali samaki!damn..
Plus, mshkaji ni from coastal-Mombasa, so anajua kupika kiaina...plus, wote ni wanafunzi walikuwa so usitarajie akufanyie baking ama akutengenezee burger!!!
 
Sitaki kuamini kwamba nilidhani ni kitu kimoja mpaka kufikia hatua ya kuonyesha hivyo kumbe sivyo....HOW LAME!

I was being sarcastic...nimeshangaa hiyo idea ya kwamba mimi kuweka link kunahusisha/fananisha yangu na yako imetoka wapi.Kama nilidhani hivyo i would have said so...

Kuna kitu ningesema hapa ila umri unanikataza...................
 
Babu nimekupa Like sio sababu ya ulichoongea.... No!
Ni furaha yangu kukuona nakutafuta toka juzi... imekuaje
i have been replaced??? Dah!!lol
OMG........and who on earth do you think can replace you?.......Nlikumisi pia ndo maana nlipoona thread yako nikaijongea faster....... And I will marry you!
 
OMG........and who on earth do you think can replace you?.......Nlikumisi pia ndo maana nlipoona thread yako nikaijongea faster....... And I will marry you!

Babu me blushing...lol.. ila naona the above umekosea ku type...
 
Ruta are you serious unataka kupika?? maana kila nikiuliza you are kind of diverging.... nini umenunua??lol

nimerudi mikono mitupu baada ya kugundua hujanipa recipe yake................nimerudi kuikusanya halafu nirudi tena sokoni..........lol
 
Babu huwa hakosei kutaipu.....Na alichokiandika, ameandika. No one can erase it..... BTW naomba nionje mapishi yako. Am starving.....

Unaonaje nikuandalie ugali wa unga wa mahindi ukichanganywa na wa unga wa ndizi kidogo...
alafu ni-stim nyama ya ng'ombe ilokua spiced na viungo
(pili pili manga, limao, garlic, vinegar, tangawizi, chumvi, binzari)
kisha baada ya hapo nipake mayai ikiwa katika special sticks tayari kwa kugrill..
nitahakikisha niandae veggies ya mboga ya maboga ya karanga
zilizosikinwa (acha za kutwangwa!!) nikirushia umo matunda damu
yalokomaa but hayajawiva vizuri... Na Babu sitasahau matunda...
saizi kipindi cha embe na tikiti pia... machungwa nitatengeneza juice
ilochanganywa na vanila flavour kwa mbaaaali....

Kama the above hutaki then niambie tuandae kingine....
BTW babu harusi yangu karibu inatangazwa...lol
 
u ar very right mentor! there is nothing more romantic than cooking together ( wale wanaodhani ni tamthilia jibu ni moja: U AR NOT THAT ROMANTIC!!!). yaani sina maneno ya kuielezea, wknd flani mnampa off maid na watoto kama wapo waende kushinda kwa bibi kabisaa! mweeh!

"The way to a man's heart is through his stomach" - Wahenga.

Thanks sana Ashadii,
Labda swali la nyongeza tu-yeyote anaeza jibu:

Je, vipi nikimkaribisha rafiki kwangu tuje kupika wote? Je itaharibu raha ya jioni hiyo ama?
Personally (na kabla sijatoa hadithi yangu), nadhani hiyo ni more romantic kuliko aje akute nimeshapika...
 
u ar very right mentor! there is nothing more romantic than cooking together ( wale wanaodhani ni tamthilia jibu ni moja: U AR NOT THAT ROMANTIC!!!). yaani sina maneno ya kuielezea, wknd flani mnampa off maid na watoto kama wapo waende kushinda kwa bibi kabisaa! mweeh!

ha ha ha.... umeniacha hoi Wifi to be.... Dah!
 
Unaonaje nikuandalie ugali wa unga wa mahindi ukichanganywa na wa unga wa ndizi kidogo...
alafu ni-stim nyama ya ng'ombe ilokua spiced na viungo
(pili pili manga, limao, garlic, vinegar, tangawizi, chumvi, binzari)
kisha baada ya hapo nipake mayai ikiwa katika special sticks tayari kwa kugrill..
nitahakikisha niandae veggies ya mboga ya maboga ya karanga
zilizosikinwa (acha za kutwangwa!!) nikirushia umo matunda damu
yalokomaa but hayajawiva vizuri... Na Babu sitasahau matunda...
saizi kipindi cha embe na tikiti pia... machungwa nitatengeneza juice
ilochanganywa na vanila flavour kwa mbaaaali....

Kama the above hutaki then niambie tuandae kingine....
BTW babu harusi yangu karibu inatangazwa...lol
Nije saa ngapi umesema?......... Yaani nshanenepa kabla sijala.... mbona wanifanyia kusudi mpaka babu nadondosha udenda mbele za watu? nyam nyam nyam........ I salute you Ashadii. You are the best cook in the world... I can swear if you ask.

Na hiyo bold hapo....... who is the luckiest guy?........ nahisi kumwonea wivu flani hivi.....

Babu...huyu ni mjukuu ama!??
We Mangi siku hizi imekuwaje? Unaulizia nywele saluni?
 
Back
Top Bottom