Asha sie kwetu huku uswahilini tunakula kwa pamoja,
si unakumbuka ule mchezo wa kitoto wa kula mbakishie baba...............?
hatuna mambo sijui ya sahani kila mtu na yake, sijui kuwasha candle,
ukiona mshumaa umewashwa basi ni mpaka TANESCO wamechukua kilicho chao,
Matunda sijui, ndo hivo tena kuyala mpaka baba afurahi au ujue kuna mgonjwa hapo home..................
mmmh, wewe Asha karibu kwetu ujionee mwenyewe, kila kukicha afadhali ya jana lol..........
"The way to a man's heart is through his stomach" - Wahenga.
Thanks sana Ashadii,
Labda swali la nyongeza tu-yeyote anaeza jibu:
Je, vipi nikimkaribisha rafiki kwangu tuje kupika wote? Je itaharibu raha ya jioni hiyo ama?
Personally (na kabla sijatoa hadithi yangu), nadhani hiyo ni more romantic kuliko aje akute nimeshapika...
Mentor hio ya kupika woote ni nzuri saana lakini IMO sio kwa 1st date...
maana bado hamjazoeana, kunakua na awkwardness fulani hivi... mara mwiko
umeanguka, mara sahani kugongana... personally naweza hata unguza...lol
ila kama mko karibu na mmezoeana tayari... very romantic!!
Haha...first date unaenda kwa mshkaji!?? Ashadii...
ha ha ha.... Si unajua tena, anakuambia do you mind me cooking we have a quiet evening??
of coz he has to be a gentleman, ndio maana nimesema make sure siku hio you do not do it...
what an impression utaweka....
Mshangao wangu ni kuwa on the first date unaenda kwa mshkaji? afu unataka asifanye ze nidful...no wonder mnaishiwa kusema mmechezewa!
As in, mimi nikikukaribisha kwangu ati ndo first date..i mean business ata nikikudanganya na dinner and what nots!
Ila ilo tuliache,
Nilikuwa na rafiki yangu wa kike tuliyefahamiana wakati ninasoma.
Wakati nakaribia kumaliza chuo nikawa naishi nje (kwa maana ya nyumba ya kupanga instead ya hostels).
Nikawa namkaribisha kwangu weekends, ila nikajikuta napika mwenyewe.
Nilipomuuliza vipi si uje tupike wote?
Akanambia ati amekuja kwangu so ni wajibu wangu kumpikia.
Aliponimaliza kabisa ni aliponiambia, yeye si mke wangu bado so si sahihi yeye kupika nami!
Hivi ndo inavyotakiwa ama?
ha ha ha... to the highlighted....
Tumetoka katika different societies with different standards and out look of things...
Naamini mdada yeyote wa ki Tanzania ni lazima angekusaidia - na hata kukuambia
kua akusaidie wewe utulie pembeni, kama kumbu kumbu zangu nzuri katika uzi
wangu wa KWA NINI JF?? Uliwahi gusia kua umechukua degree Kenya?
(Please correct me if i am wrong....) huyo dada ni Mkenya??
Then tutaendelea na discussion...
ha ha ha... to the highlighted....
Duh, una kumbukumbu mpaka unaniudhi..
well, siyo mkenya, actually ni Burundian. Na kuna posts nyingi washkaji
wamekuwa wakiwasifia wadada from this country plus Rwanda..sijui hizo sifa wanazitoa wapi.
Kwani ukiachia maumbo yao...hawana kingine cha kuongeza...really!
Ila hapo utaifa una uhusiano kwani?
- Chakula katika tendo lenyewe la 6/6
Kweli kabisa tena hususan ile blue pill viagra ni chakula tosha kaisa kwa hii kazi... (just joking)
Serious though nice post na kweli chakula ni muhimu na sio tu ili tuishi but enjoying the process as well, Yes Aphrodisiacs works, lakini sometimes ninafikilia some of this so called aphrodisiacs its just in the mind
ha ha ha... pole nimekuudhi kwa kumbu kumbu zangu... Hua nakumbuka bana...
Hio hapo juu, hizo sifa i am guaranteeing kua ni Physical for they are the best!
Sitaki kuanzisha ubishi ila kwa hilo pia mmh...sidhani kama I agree wit them! Plus, hawajui mamboz..yanni pathetic kabisa!!!
sijui hwakufundwa kwako...aaarh!
tuliache hili kabisa!!!!! topic closed!
utaifa una uhusiano kwani?
Unapotaka mwanamke with guaranteed confidence, exposure, intelligence,
kujitambua, independent, or emotions un attached... then this you will get
with high probability from a Kenyan lady than a Tanzanian....
Unapotaka mwanamke with guaranteed unyenyekevu, minimum intelligence,
lack of complete kujitambua, dependent, emotions attached... then this you
will get with high probabilty from a Tanzanian lady than a Kenyan....
You mean I can't get those -highlighted, red- in a Tanzanian lady?
You can definately get them in a Tanzanian lady... if you look close enough
you will find i said a high probability... why pretend otherwise just for
urguments sake?? Ni wazi kua in mot cases the red highlighted are
found more in those who have been fortunate to be educated... And
Mentor it is common knowledge wanawake wasomi ni wengi compared to TZ.
Gotcha...
turudi kwenye topic ya chakula..
Kuna hili nilikutana nalo,
"Ati, ananikaribisha kwake afu ananipikia ugali...hivi ananionaje huyu mwanaume!??"
I thought ulisema chakula 'gani' siyo priority kubwa kwenu as long as kimepikwa vizuri...
palha ha ha.... Si unajua tena, anakuambia do you mind me cooking we have a quiet evening??
of coz he has to be a gentleman, ndio maana nimesema make sure siku hio you do not do it...
what an impression utaweka....