bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
Mmesahau albino na wanawake vikongwe wanauwawa kwa imani za kishirikina Sukumaland? Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake kwa kiasi kikubwa ndio wanaojihusisha na kuendeleza imani hizo. Wanawashurutisha mabwana zao waamini kuwa mama zao wazazi ni wachawi ili wauwawe na mabwana zao wawe warithi kamili wa mashamba, ng'ombe na mali nyingine zilizoachwa na baba zao...
Mmesahau kijiji kiitwacho 'Gambush' kiko Sukumaland?
shilingi ina pande mbili......................