Umeoa Msukuma?

huu wote mnaongea ni uchafu. ongeeni kitu cha maana, mmejaa mawazo ya uzinzi toke A hadi Z. mtaacha lini mawazo machafu hayo? Mungu katuumba sisi sote wazuri, kama ni tabia, shetani ndo anaweza kubadilisha mtu akawa na tabia mbaya, awe msukuma au mnyakusa, msambaa au mhehe, kama hana Mungu, hakika tabia yake lazima itakuwa mbaya tu siku moja hata kama sio leo. ndo maana ninyi ambao wanawake wenu hawamjui Mungu, usalama wenu ni mdogo sana.

shetani anaweza kubadilisha chochote kwenye mwili wa mtu ambaye hamjui Mungu, anaweza kuharibu hata homorns za kike au kiume, halafu ndoa ndani ikawa chungu hata kama huyo mtu ni msukuma, mhaya, au mkurya etc, haijalishi, the most important thing ni namna gani mtu amejiweka kiulinzi wa kimungu hapa duniani, kama hana ulinzi wa kimungu, basi anaweza kuwa yeyote yule wakati wowote ule, anaweza akawa si lolote lile wakati wowote ule hata kama kwasasa unamuona kama ni chochote.
Thanks Mwana wa Mungu,
kwanza kwa kutoelewa mada vizuri
pili kwa ku-judge wenzako vizuri tu
tatu kwa kujichanganya kwenye mada
nne, kwa kwenda mbali sana wakati mada iko poa tu
 
ubaguzi sio mzuri wajameni... sasa nyie wote mkiowa wasukuma, ma bint wengine wataolewa na nani?
 
But Sukumas are shirikinas. Please be careful. Mi nawaogopa sana. Kwa hilo wamezidi sana, na kupita mipaka ya kawaida. Mnaopenda kuoa huko nawatakia safari njema.
 
Thanks Mwana wa Mungu,
kwanza kwa kutoelewa mada vizuri
pili kwa ku-judge wenzako vizuri tu
tatu kwa kujichanganya kwenye mada
nne, kwa kwenda mbali sana wakati mada iko poa tu

Ha ha ha haaa,

Umemchana mkuu live live...
 
Kula sana kwani ni tatizo? Those people are giants na wanafanya kazi sana, ndio maana wanakula. Huwezi kulinganisha Msukuma na Mzaramo! Mzaramo ni mvivu wa kufanya kazi na ndio maana hata kula yake ni ya shida, kwa hiyo anakula kidogo pia kwa kuwa ndicho alichoweza kuzalisha, haimaanishi akiletewa chakula kingi hatakula.
Msukuma kwake chakula sio tatizo.

Masaki
Umeongea vizuri usukumani chakula sio issue, kwa hiyo kwa familia ya kisukuma hakuna kitu kama kubania chakula kama makabila mengi ya ukanda wa Pwani.

Kikubwa ni kuwa ni wachapaka kazi wa kweli na wafugaji wazuri, ukarimu ni jadi.
Wanawake wao si utani kuhusu jinsi ya kumhudumia mume wao inaonekana ni wajuzi sio kwa kuiga...
 
ubaguzi sio mzuri wajameni... sasa nyie wote mkiowa wasukuma, ma bint wengine wataolewa na nani?

Heheheeh duh we wasukuma usipime kwani wewe wa wapi unaweza kuwa nawe mtamu ukawa na sifa za kanda ya ziwa.
 
huu wote mnaongea ni uchafu. ongeeni kitu cha maana, mmejaa mawazo ya uzinzi toke A hadi Z. mtaacha lini mawazo machafu hayo? Mungu katuumba sisi sote wazuri, kama ni tabia, shetani ndo anaweza kubadilisha mtu akawa na tabia mbaya, awe msukuma au mnyakusa, msambaa au mhehe, kama hana Mungu, hakika tabia yake lazima itakuwa mbaya tu siku moja hata kama sio leo. ndo maana ninyi ambao wanawake wenu hawamjui Mungu, usalama wenu ni mdogo sana.

shetani anaweza kubadilisha chochote kwenye mwili wa mtu ambaye hamjui Mungu, anaweza kuharibu hata homorns za kike au kiume, halafu ndoa ndani ikawa chungu hata kama huyo mtu ni msukuma, mhaya, au mkurya etc, haijalishi, the most important thing ni namna gani mtu amejiweka kiulinzi wa kimungu hapa duniani, kama hana ulinzi wa kimungu, basi anaweza kuwa yeyote yule wakati wowote ule, anaweza akawa si lolote lile wakati wowote ule hata kama kwasasa unamuona kama ni chochote.
Iko kazi mmh
 
But Sukumas are shirikinas. Please be careful. Mi nawaogopa sana. Kwa hilo wamezidi sana, na kupita mipaka ya kawaida. Mnaopenda kuoa huko nawatakia safari njema.

Heh ndugu , acha tu mi mwenyewe ni living testimony na hapo ndipo nikajua do not judge somebody by the tribe... or parents. I went through hell na alikuwa msukuma pure....acha kabisa

Its all about the soul and being God-fearing, not tribe.
 
Kwa jina na picha wewe ni mwanamke!
Mada inauliza kama umewahi kuoa mwanamke wa Kisukuma!
Labda utujuze how you went to hell with a fellow sukuma woman!
 
Kwa jina na picha wewe ni mwanamke!
Mada inauliza kama umewahi kuoa mwanamke wa Kisukuma!
Labda utujuze how you went to hell with a fellow sukuma woman!

Maybe so may be not. Its ur assumption. Jina na picha can not be your premise for conclusion.
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?

Wanaonekana wako vizuri kwa sifa hizi
 
Kajala Masanja type!!!
Oooh!!give me a break.
Ni wachapakazi lakini mambo ya sita kwa sita njoo pwani.
 
Huo ndio utamaduni wetu wasukuma mkuu,hayo ya ndugu kufurika unayasema wewe,lakini kwetu sisi pouwa tu,ni kama utamaduni tu sasa(sema kwa watu wa mjini wataona ni kero),nenda sehemu yoyote yenye wasukuma(maeneo ya vijijini ya wilaya za mikoa ya Mwanza,Shinyanga na kidogo Tabora,pia maeneo ya bonde la Usangu na Songwe-Chunya) utaona ni jinsi gani wasukuma wanavyoishi kwa umoja,upendo na mshikamano...Hakuna uchoyo wala kuwaza fulani atakula nini maana vyakula vipo(tunalima sana mahindi,mtama,uwele,viazi vitamu-manumbu)mang'ombe yapo(tunapata maziwa-mtindi wa kuchekecha na samli,nyama...pesa),pia tunalima Pamba na Alizeti tunapata hela za kutosha kiasi kwamba tunakuwa hatuna hata muda wa kuwaza kwamba aaargh hawa watu mbona wamekuwa wengi hapa nyumbani kwangu...Ukweli najivunia sana kuwa Msukuma aisee
kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom