Umeoa Msukuma?

Kiaina, kama nilivyosema, nataka wadogo zangu wapate wake wazuri, na pia wanaJF mabachela wa hapa ndani wapunguze threads za ..."NIMEIBIWA, .....NIMECHANGANYIKIWA ....etc!..mi huwa zinaninyima amani sana!
Nadhani tuko pamoja dada FL1

Pamoja sana PJ
 
Usukumani jamani raha asikwambie mtu hawa mabinti nawapenda sana ningekuwa nauwezo ninge........

Fidel, dini yako haikuruhusu kuoa mke wapili...tafadhali usije ukaingia matatani na kukimbilia JF kuomba ushauri!
Ridhika na hicho ulicho nacho bana!..
Wazuri ni wengi broda!...mbona unasema una mchumba MSUKUMA, sasa unalia nini tena babaake?
 
Fidel, dini yako haikuruhusu kuoa mke wapili...tafadhali usije ukaingia matatani na kukimbilia JF kuomba ushauri!

Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
 
Wanakata jembe haooo... kama trekta...petroli uji usio na sukari...Duhu shida.. Mama anajifungua.. baada ya mwezi tu,kichanga mgongoni....jembe begani.. wanafaa sana kwa Kilimo kwanza...!
 
Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
Mahawara pia dini inakataza. Labda kudumisha mila ndiyo haijakatazwa popote.
 
shemeji yangu sio muoaji jameni.....we muache hivyo alivyo....

hapo sasa kama si muoaji basi wasukuma hawamfai maana yaelekea waaminifu sana (according to yeye) so hata mambo ya uhawara hawayawezi!!!
 
Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
Huh...!$*@^^^&&&&&$#**********!!!!!!!!
Hao ndo usiseme kabisa mkuu!...After all wewe una mchumba mkuu, achana na hii maneno!
 
PJ ila ukienda huko kwa Julius (Bariadi) hakikisha unakuwa na ng'ombe wa kutembea kwa miguu wasiopungua 20. Huko kutokana na wanaume wa Bariadi kupenda wanawake weupe wametengeneza genes zao na wanawake wao ni weupe na wazuri sana.
 
Ndio maana nakupenda shem. Ile vekesheni imekaribia....I hope uko tayari...

dah!!! umenisoma kilichokuwa akilini mwangu shem......leo nilipanga kukuuliza hilo!!
am sooo ready nakusubiri wewe tu.......
 
dah!!! umenisoma kilichokuwa akilini mwangu shem......leo nilipanga kukuuliza hilo!!
am sooo ready nakusubiri wewe tu.......

Jamani eeeh! Its Friday evening now, ngoja tuwaachie walioko US waendelee maana wao ndio kwanza kumekucha! :)
 
Mmesahau albino na wanawake vikongwe wanauwawa kwa imani za kishirikina Sukumaland? Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake kwa kiasi kikubwa ndio wanaojihusisha na kuendeleza imani hizo. Wanawashurutisha mabwana zao waamini kuwa mama zao wazazi ni wachawi ili wauwawe na mabwana zao wawe warithi kamili wa mashamba, ng'ombe na mali nyingine zilizoachwa na baba zao...

Mmesahau kijiji kiitwacho 'Gambush' kiko Sukumaland?
 
Jamani eeeh! Its Friday evening now, ngoja tuwaachie walioko US waendelee maana wao ndio kwanza kumekucha! :)

nilisahau
I thought its thursday
wat happened Friday was supposed to a public holiday mbona tupo tunatumika.........
 
Back
Top Bottom