Umeoa Msukuma?

PakaJimmy,

Wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali

Duh tabu Duh shida!
Umenipa hamasa ya kutafuta dem wa kisukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Si kwa kutumwagia sifa zote hizi dada zako,ila kweli bwana tupo kama hapo ulivyoandika.
 
achana kabisa na mwanamke wa kisukuma.. popote pale hua natoa heshima zangu.. miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kusoma na ng'wanike mmoja.. nilianza kumfaham toka naingia chuo.. tabia zao zile za kubandika matokeo ya kidato cha sita.. ili watambuane wenye uwezo wa kubwia maandishi... bas aisee yule mtoto sikuwahi ona kasoro hata moja.. kapanda hewani.. mwendo wake hutaacha kumwangalia... haongei sana.. usimpofaham unaweza kuhisi ana dharau... kanisani huwezi kumkosa jumapili... na akitoka darasani yupo rum kwake....

nini nilikishangaa sana kwake..!??
1.alikuja kupata mpenz pale.. aisee jamaa akawa anafuliwa nguo zinapihwa pasi. anakuja jumamosi kabla hajatoa nguo unaona ashaanza kutania jamani ngoja niwapigie deki.. na anadeki kweli..

2.siku moja nilmtembelea rum kwake.. daah mtoto yule.. kama sio engineer kapanga chumba hicho.. kila kitu kipo sehem yake...

3. mara migogoro ikaanza yule jamaa kumbe alikua na mpenz.. akaja kufumwa... ikabidi waachane kimya kimya.. jamaa akaanza kutangaza.. aaah!! sijali dem mwenyewe nimemtoa bk mm...(imagine!!)

nilikua nikisoneneka sana... basi jumamosi kadhaa zijazo tutakua sehem anakata keki na kututambulisha kua sasa anataka kibali cha halali cha ''"kukamuliwa protin''"

dada yangu.. nakupa heshima zako!!

Nb:kukamuliwa protin - kufiringisana (gudume 2017)
 
Back
Top Bottom