Umbali ambao oil 10w-30 au 5w-30 inatakiwa kwenda

Makobus

Senior Member
Jul 30, 2012
161
103
Ndugu wataalam wenye uzoefu wa vyombo vya usafiri, hususan magari, naomba mnisaidie.

Naomba kueleweshwa juu ya umbali ambao oil ya 10w-30 au 5w-30 inatakiwa kwenda. Au ni sawa na hizi za SAE ambazo mara nyingi ni 3000km?

Natanguliza shukrani.
 
Issue ya oil inahitaji uelewa mkubwa sana kuweza ku determine how long oil itaendelea kutoa protection (lubrication) ya kutosha kwenye moving parts..

Jua yafuatayo..oil inakua affected na temperature level, age, additves level, na degree ya contamination..

1. Temperature...
Oil inapokua exposed to high engine temp maana yake ita breakdown mapema..sasa kila engine ya gari ina specific optimal operating temperature.. there engine inayo operate at higher temperature basi degree ya breakdown itakua very fast kuliko gari yenye engine inayo operate at lower operating temp . mfano gari yenye turbo ina compression ratio kubwa hiyo combustion chamber yake ina higher temp so hata oil kwenye gari ya turbo haikai muda mrefu kama kwenye non turbo engine.. but ku prolong oil life dhidi ya Temperature, hapa oil huwa zinaongezewa additives ili kupunguza degree of degradation under high temperature (or extreme conditions) (oil hizi ndo tunaita fully synthetic oil... But pia kuna semi synthetic oil) hizi oil mbili zinatofautiana resilience kwenye joto..

2 Age

Oil ikisha ingia ndani ya gari basi hata kama gari haitumiki.basi haitakiwi kuzuidi six months ikiwa ndani ya engine

3. Contamination..
Hii ni kwa wale wanaofanya frequent short trips wana zima na kuwasha gari after every short distance...hii tabia hufanya oil ichanganyikane na mafuta (petrol) na kufanya oil iharibike...ni hivi Everytime when you crank your engine basi mwanzoni fuel injectors humwaga mafuta mengi sana ili gari iweze kuwaka..so si mafuta yote huchomwa, mwengine hutoka kwenye exhaust (ndo maana ukiwasha gari unasikia harufu ya mafuta mabichi) na msfuta mengine hupenya kwenye cylinder wall na kufika kwenye sump ya oil na ku contaminate oil hivo kufanya oil ipoteze chemical properties zake hivo kufanya oil isifanye kazi yake ya lubrication ipasavo..

Sasa nini kifanyike baada ya maelezo hayo ya utangulizi hapo juuu in relationship to kilometers...ntarudi kumalizia
 
Good. Nakusubiri kwa hamu mtaalamu.
 
Leta madin hayo
 
Kwa nini ulikimbia Mwalimu wetu???

Au ulipatwa na janga????
 
Back
Top Bottom