Uliyasikia matusi ya clouds FM jana? Unayakubali?

Wewe ndio umesikia hayo matusi labda ungetuelezea walikuwa wanasemaje kwanza ndio tungejua pumba na mchele.

Hasa ukizingatia hako karedio wengine tulishaacha zamani kukasikiliza. Binafsi sitaki hata kujua walisema nini wasije nipandisha hasira tu!
 
Kwanini kejeli za clouds zinakua regarded as matusi ilihali bwana sugu katoa album nzima ya matusi?...kwanza huu mvutano unatupeleka wapi,kwanini watu tuhamishe tention zetu kwenye mambo yanayomatter na kucocentrate kwa mambo yasiyo na mashiko? why!

kweli kila mtu na akili zake, duuuuuuuuuuuu!
 
Jana asubuhi kwenye kipindi chao hawa jamaa walimshambulia sana bwana Sugu tena maneno makali na kashfa .Je nawe uliyasikia kama mimi ?Unadhani ule ni uungwana ? Kwa nini watumie muda wa takribani dakika 12 kumsema Sugu pekee na tamasha lake ?Kuna mjuvi hapa atumwagie ?

kama umesikia si useme?? mbona unaandika kama mwanamipasho?
 
Jana asubuhi kwenye kipindi chao hawa jamaa walimshambulia sana bwana Sugu tena maneno makali na kashfa .Je nawe uliyasikia kama mimi ?Unadhani ule ni uungwana ? Kwa nini watumie muda wa takribani dakika 12 kumsema Sugu pekee na tamasha lake ?Kuna mjuvi hapa atumwagie ?

Mfa maji haachi kutapatapa, Clouds is dying slowly
 
Kama mambo yenyewe yamefanyika asubuhi( am certain itakuwa b4 saa 3 asubuhi) na wewe unakuja saa tano unusu usiku na unakuta hamna aliye-post hiyo habari; then the answer is simpo...ni issue isiyo na msingi!! By the way, Sugu na Clouds wote sawa tu....kila mmoja anatumia jukwaa lake kumkashifu mwenzake!!!! mwenye akili timamu atabaki tu kujiuliza kwamba hivi hawa hasa wanagombea nini. Ukijiuluza, unapotezea na wala huna haja ya kutafuta jibu manake ukilipata unaweza wewe ndio mpuuzi zaidi kuliko wapuuzi wenyewe!!
 
Mfa maji haachi kutapatapa, Clouds is dying slowly
Aisee hii redio haiwezi kufa. Nafikiri ndio redio inayofanya vizuri Tanzania kwa sasa. Huyu Sugu ni mfa maji tu. Tusiwe wajinga matatizo yake binafsi na clouds asiyahamishie na kweru
 
Why do they take the issue of Sugu as personal issue? Ni kupoteza muda na nguvu zao na kuendeleza utoto. Wao ni wafanya biashara. haya mambo ya mipasho wapi na wapi?
 
Aisee hii redio haiwezi kufa. Nafikiri ndio redio inayofanya vizuri Tanzania kwa sasa. Huyu Sugu ni mfa maji tu. Tusiwe wajinga matatizo yake binafsi na clouds asiyahamishie na kweru

Na vp kuhusu Kibonde kuwatukana wanaharakati na kuwatukana wanafusi wa Udsm kuhusu kuandamana kudai haki zao?
Binafsi ukiweka issue ya Sugu pembeni bado clouds naichukia sababau ya KIBONDE
 
Kwanini kejeli za clouds zinakua regarded as matusi ilihali bwana sugu katoa album nzima ya matusi?...kwanza huu mvutano unatupeleka wapi,kwanini watu tuhamishe tention zetu kwenye mambo yanayomatter na kucocentrate kwa mambo yasiyo na mashiko? why!

hata hayo ya mashiko mnapuuzwa tu!
 
Nilimsikia Hando akiponda watu kutoa pesa yao kwenda kusikiliza matusi, et huo ni Ujinga. Tena kaponda viongoz wote wa kitaifa waliokwenda kusikiliza matusi, Hando alikua akiongea as if ni m2 aliekasirika sana mana alitumia more than 10minutes kuponda tamasha la Sugu et anatumia kigezo cha burudani kuharalisha uhuni (tamasha la matusi).
 
Kwanini kejeli za clouds zinakua regarded as matusi ilihali bwana sugu katoa album nzima ya matusi?...kwanza huu mvutano unatupeleka wapi,kwanini watu tuhamishe tention zetu kwenye mambo yanayomatter na kucocentrate kwa mambo yasiyo na mashiko? why!

wewe akili zako ziko kwenye masaburi au? unashindwa kutofautisha matangazo ya kituo cha redio na muziki? Rudi shuleni kasome, au nenda katoe haya mawazo yako FB kwenye wenzako
 
Back
Top Bottom