Uliyasikia matusi ya clouds FM jana? Unayakubali?

Mh.Joseph Mbilinyi...so far hongera kwa kazi nzuri na endelea kufanya kazi yako ya uwakilishi vema,...unaonaje kama ukianzisha redio stesheni yako na uachane na Ruge et al?...
Ana ubavu huo?
 
Ana ubavu huo?
Ni wewe peke yako ndio unaamini katika misingi ya kushindwa, lakini mwanaume yeyote rijali anaamini katika kila kitu kinawezekana. kama amefanikiwa kuwafunika clouds kwenye uzinduzi wa Anti virus with no Apology na akaweza kushinda ubunge kwa kishindo, ni nini hakiwezekani?
Redio anamiliki Abdallah Majura ndio ije kuwa Sugu? achana na mawazo mgando kama saa saba 7 usiku.
 
kusema kwel LUNYUNGU mimi huwa sisikilizi hiyo redio so we sema uliyo yasikia ili wanajamii tuwararue hao.HIP HOP JUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom