Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Sijui nianze kusimulia yupi wapo zaidbya wanne
Wakwanza tulipatana mtandaon kimasihara sana yani tumefahamiana leo kesho katia miguu nikachakata akanogewa ikapita miezi mingi tunachati tu akaja tena nikachapa zaidi ndo kanogewa mno kidgo anipe jicho kwa utalam wangu. Mumewe napeda muita dady

Mwingine nae nikamnasa huyu ye alikuwa na shida ktk ndoa yake akawa anadai hajawahi ona raha ya kulana mpka alipokutana na mimi nikamfunguwa bomba ananipenda adi kapagawa

Mwingine ni demu wangu anaolew soon nae atakuwa mke wa mtu ila kasema atazid kuprovide huduma non stop wacha asitiriwe, wanawake wanapenda ndoa sana kuvaa shela ni kila ndoto ya mwanamke ila kuishi ndoa ni wachache sana
Kwa hiyo ukamla jicho tumegundua
 
Sawa
20240204_140900.jpg
 
Unajua Madam muda mwingine vijana wanaona bora watoke na mke wa mtu wanaweza kuwa salama zaidi kuliko kutoka na single ambaye anamsururu wa wanaume zaidi ya watano na wote wanachakata mbususu moja. Mke wa mtu anaaminika anachakatwa na mumewe tu ambaye anajulikana sasa single ni mtihani.
hahaha, na wewe una support au siyo? subiri siku moja utakapokuwa umekamatwa na mumewe na akaanza kukupiga matako yako hayo vibao vya kimahaba paaaah paaaaah paaaaaah huku akipaka mafuta kwenye washeli
 
Moja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!


Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.


Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo

Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.

Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Umeongea kwa uchungu Sana na binafsi nimekuelewa Sana. Mke anauma Sana.
 
Back
Top Bottom