Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,290
- 11,813
Kuna kijana wamemfanya vibaya mtaani huko kisa mke wa mtu,jilinde
Dua za kuku hiziHongera ila usisahau kuwa unalidondoshea tone la mafuta jicho lako kila unapoenda kukutana nae ili lisijekupata shida siku yake
Ukichambua ndio itashusha bei ya sukari?Wenzako wanachambua report za kiuchumi za CAG na IMF, wewe unachambua nyuzi za wazinzi
Boda boda watamla tuuKwa kua nitaoa na sitaki mke wangu aliwe, nami nilishajiapiza sitakula mke wa mtu labda kwa kuto kujua. Mimi nikijua huyu ni demu wa mshkaji achilia mbali mke huwa sitaki hata mazoea nae
Bado hajashindwa. Maake humu JF unaweza ona ujumbe umetoka kwa Mzabzab, kumbe sio, umetoka kwa Paul Makonda bila kujuanaTUseme umeshindwa kutunza SIRI.
Ukichambua kula wake za watu ndio inasaidia nini?
Kwa hiyo ukamla jicho tumegunduaSijui nianze kusimulia yupi wapo zaidbya wanne
Wakwanza tulipatana mtandaon kimasihara sana yani tumefahamiana leo kesho katia miguu nikachakata akanogewa ikapita miezi mingi tunachati tu akaja tena nikachapa zaidi ndo kanogewa mno kidgo anipe jicho kwa utalam wangu. Mumewe napeda muita dady
Mwingine nae nikamnasa huyu ye alikuwa na shida ktk ndoa yake akawa anadai hajawahi ona raha ya kulana mpka alipokutana na mimi nikamfunguwa bomba ananipenda adi kapagawa
Mwingine ni demu wangu anaolew soon nae atakuwa mke wa mtu ila kasema atazid kuprovide huduma non stop wacha asitiriwe, wanawake wanapenda ndoa sana kuvaa shela ni kila ndoto ya mwanamke ila kuishi ndoa ni wachache sana
hahaha, na wewe una support au siyo? subiri siku moja utakapokuwa umekamatwa na mumewe na akaanza kukupiga matako yako hayo vibao vya kimahaba paaaah paaaaah paaaaaah huku akipaka mafuta kwenye washeliUnajua Madam muda mwingine vijana wanaona bora watoke na mke wa mtu wanaweza kuwa salama zaidi kuliko kutoka na single ambaye anamsururu wa wanaume zaidi ya watano na wote wanachakata mbususu moja. Mke wa mtu anaaminika anachakatwa na mumewe tu ambaye anajulikana sasa single ni mtihani.
Mkuu, mbona umezungumza kwa uchungu sana?Kwa hiyo ukamla jicho tumegundua
Ndo kusema unajitetea au?Sijala mke wa mtu ila huyu alikuwa demu wangu kabla ajaolewa ila now ameolewa pia bwana ake anajua kama ameoa lkn ana cheat sana hadi mkewe anajua kwa hyo na yeye nimemla mke wake ambae ni demu wangu wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wapakwa mafuta wengi hawapeleki taarifa mahakamani
Umesababisha hasara na maumivu katika maisha ya mwenzako. Kabla hujafa utalipa mara dufu. Hakuna kitu unachekelea hapo.Kwa bahat mbaya akat amenifumania tunapambana nilimsukuma ajapiga kisogo kwenye ubao wa kitanda akakata moto alipokuja kuzinduka adi leo hii hana mtandao hakumbuki chochote kile katika maisha yake
Umeongea kwa uchungu Sana na binafsi nimekuelewa Sana. Mke anauma Sana.Moja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!
Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.
Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo
Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.
Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Ukiendelea na hio tabia lazma utapakwa mafuta siku moja
Bora uogope jirani usije kuuponza 🤣Siwezi kujichanganya
Safi sana, hii ndo dawa yakeKwa bahat mbaya akat amenifumania tunapambana nilimsukuma ajapiga kisogo kwenye ubao wa kitanda akakata moto alipokuja kuzinduka adi leo hii hana mtandao hakumbuki chochote kile katika maisha yake
Ni kweli kabisa achana nao kabisa hata kama unampenda na yeye anadai kukupenda achana naye na akuchukie tuMke wa mtu sumu