Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Mavella " nimepata chaneli 2 za bay TV na 1kzn TV kutoka south afrika ambazo ziko amos 5 at 17e ktk mwelekeo huohuo wa eutelsat 16A at 16e bila kusogeza dish "

Bro Mavella naomba ujaribu kuzungusha LNB @ 3:00pm ( namaanisha pale kwenye fitting ya cable panakuwa at 3:00pm ukiwa mbele ya dish lako )

asante arselona nitajaribu nikirudi nimesafiri kidogo,
 
Nina dishi la 6ft napata chaneli za bongo.Nataka kuweka lnb ya ku nipate za south africa na nollywood.Naomba kujua nitaiweka wapi na nahitajika ninunue vifaa gani.Kama kuna picha tafadhali naomba nione vipi lnb ya ku inakaa.
 
Sawa bro, najaribu kutafuta picha ambayo itaeleweka vizuri na kila yule atakayeiona. Nitarudi tena jamvini.
 
Njia ya pili ni kununua dvb-s2 decoder na offset dish la >3ft ili kukufanya unase sats eutelsat/amos ambapo utapata channels nyingi za sports zikiwemo rdv, drtv,rst1 ortb setanta africa na crtv

mkuu kabla hujaendelea mbele .. unaposema OFFSET DISH unamaana gani...?
 
Nashukuru kwa elimu yako na uendelee na moyo huo ni wachache wenye kutoa elimu ya namna hiyo
Mungu akupe kila la kheri na akupe ujuzi zaidi ili wengi wanufaike toka kwako
 
Thaicom haina coverage ya ku-beam hapa kwe2 na maeneo karibuni yote africa
 
Nashukuru kwa elimu yako na uendelee na moyo huo ni wachache wenye kutoa elimu ya namna hiyo
Mungu akupe kila la kheri na akupe ujuzi zaidi ili wengi wanufaike toka kwako

maneno yako yanafanana na jina lako. Na iwe kama ulivyoomba. A M I N A
 
Arselona na wengine wanaoweza kunisaidia. Naona swali langu limekuwa gumu maana nimeuliza mara nyingi sana humu bila majibu?
Ninatumia receiver/decoder ya Humax 2000 HD lakini nakutana na changamoto hii ambayo sikuwa nakutana nayo kwenye mediacom:
Nina shida mbili kubwa:
1. Channel mbili za tbc1 na star tv zinaingia kwenye channel moja. Yaani nikiweka star tv hiyo tbc1 inaondoka na star tv inakaa kwenye nafasi ambayo ilikuwa na tbc1 na, nikiweka tbc1 basi star tv inaondoka kwenye nafasi hiyo hiyo na tbc1 inakaa hapohapo. Sipati shida kama hiyo kwa station zingine. Sasa hapo nifanyeje ili zote ziwepo na ziwe na channel yake kila moja?
2. Sipati kabisa Channel ten. Nikii search siipati nikijaribu kuweka frequency zake naona signals kama zinaingia na kutoka (Unstable) na haipatikani. shida yaweza kuwa ni nini?

Mwisho nakili kwamba Arselona umekuwa msaada sana kwa watu wengi hapa na inaonekana unafahamu vizuri kitu hii. Asante.
 
Last edited by a moderator:

jaribu kufuta frequency za tbc na star na uingize manual moja moja hii inawezekana ni kwasababu VPID na APID za tbc na star zinafanana ikishindikana fanya restore setting.
 
Last edited by a moderator:
jaribu kufuta frequency za tbc na star na uingize manual moja moja hii inawezekana ni kwasababu VPID na APID za tbc na star zinafanana ikishindikana fanya restore setting.
Mavella Mpaka naleta hoja hapa ni kwamba nimeshajaribu kuweka moja moja na nikiweka moja moja napata matokeo niliyoainisha hapo mwanzo! Labda nijaribu kufanya hiyo unayosema ni restore settings lakini nikianza tena kufanya set up si nita end up na matokeo yale yale? Anyway ngoja nijaribu
 
Last edited by a moderator:
Habari Msunzu na JF kwaujumla.Ni matarajio yangu kuwa ni wazima na mnaendelea kusherekea sikukuu Idi El Haji kwa kuchinja kama mlivyogawiwa na Allah.Kama nilivyoahidi kwambanitarudi kutoa maelezo kulingana naswali la hapo juu. solar_ring_cband.jpg Msunzu picha ya hapo juunataka kuonyesha ringi tu ambayo hushikilia lnbs kwenye Prime focus dish (dishlako la duara la 6ft linaitwa hivyo).Unatakiwa uikate ringi kamainavyoonekana bila kufika kwenye duarala ndani.(Fundi seremala anaweza kukusaidia kufanya kazi hiyo kama ukimchoreavile unataka ikatwe) Tahadhari: hakikisha unakata sehemu kama inavyoonekanakwenye picha hapo juu. 25102012168.jpg ungo huu upo kwenye sat ya intelsat 906 pale inapopatikana chaneli zabongo, linaonekana limeelekea sana juu kutokana na sehemu niliyosimama wakatinachukua pichaSasa wakati unafunga ringiyako hakikisha mikono mitatu inayoshikilia ringi inaonekana kama inavyoonekanakwenye ungo hapo juu.Huo mkono unaouona kwa mbele umekaa vertically ingawa hapohaujakaa vizuri, ili ukae vizuri unatakiwa ulegeze kidogo nati chini ya ungo nauzungushe ungo (ukiwa mbele ya ungo) kuelekea kulia kwako kidogo mpaka mkonohuo ukae verticallyUkifanikiwa kuweka hivi ungowako, ule uwazi wa ringi utakuwa nyuma ya C-band lnb na huko ndiko utakakowekaKu-band lnb ambayo itakuwezesha kupata chaneli kama Nollywood, Nollywood +Africa unite Tv na nyingine nyingi. Ili kuunganisha lnbs zote mbili unahitajikifaa kiitwacho diseq switch. Switch hiyo itakuwa na matundu matanoyaliyoandikwa kulingangana na wapi imetengenezwa. Inaweza kuandikwa hivi lnb ausat1, sat2 hadi sat4 na la mwisho huandikwa to receiver
remmy's.jpg
Kwa hiyo utazifunga LNBs zako hivi
25102012169.jpg Nitatafuta ricva kama yako ili kikuambie jinsi utakavyoweka settings zake pamoja na freqs zakekwani nna siku nyingi tangu nimetumia mediacom ricva, ninapoandika thread hii niko skuli sina chochote hapa.
Kaa la Moto, nakubaliananawe kuwa tatizo lako limeonekana mara nyingi humo ndani bila kupatiwa ufumbuzihadi sasa, pengine hii inatokana na ukweli kwamba aina ya decoder unayoitumiani ngeni miongoni mwetu, au pengine hatuko tayari kutoa msaada maana siaminikwamba hakuna mataalam yeyote wa sat dish anayeifahamu stb yako. Kuna watuwamefungua blogs zao kujitangaza uwezo wao wa kufunga madishi ufundi ambaowaliupata bure lakini watu hao haowanakuwa wa kwanza kuilaumu serikali kwa kushindwa kuyafikisha maisha bora kwakila mtz. Kumfanya mwenzoko apate mawasiliano ni kuisaidia serikali kupelekamaisha bora kwa watz.( Naomba nieleweke kwamba mimi si mfuasi wa chama chochote kwasiasa ila nafuatilia tu masuala ya siasa) Naamini bila shaka yoyote rafiki yangu Mavella ataendelea kuungana nami katikakuhakikisha kuwa huduma hii inawafikia walengwa.
Bwana Kaalamoto kama unaishi maeneo ya karibu na ninakoishi unawezaukanitembelea au ukanialika kukutembelea ili kupata ufumbuzi na kikubwa zaidikufahamiana; ndiyo, watu wametengeneza urafiki kwa kutembeleana baada yakufahamiana kupitia mitandao ya kijamii kama JF. Nikutakieni wikendi njema, kumbukeni leo ni arsenal vs qpr @17:00hrs live ORTB na ATN(bado ipo fta)
 
Hiyo sat ya w3c 16 e bem yake inafika hapa bongo ? Je dish saizi gani ?

Mkuu Eutelsat w3c 16A at 16.0°E KU BAND inapatikana Bongo (Tanzania) lakini inategemea uko wapi,pamoja na kuwa na beam ya South na East Africa...Inapatikana kwa dish la ukubwa wa 130cm- 80cm mikoa ya kusini,magharibi na mashariki na mpaka katika ya Tanzania mikoa ya kaskazini pengine kwa dish kubwa zaidi ya niliyo tangulia kuyataja lakini beam yake inaishia katikati ya Tanzania.

Kwa kuongeza ni rahisi kupata satelite ya Eutelsat 7A at 7°E na hata channels zake nyingi ni nzuri ni pia ukitazama beam yake kwa Tanzania nzima kwa dish la ukubwa wa 85cm.

Kama ukiweza kutumia motorized Dish kuanzia Eutelsat 7A at 7°E kuelekea East unaweza kwenda mpaka Nigcomsat 1R / Turksat 42° ........ukirudi ulipoanzia Eutelsat 7A at 7°E kuelekea West unaweza kwenda mpaka Telstar 11N (Telstar 11R) 37°W......kwa maana hiyo ukitumia Dish lenye motor unaweza kupata satelite zaidi ya kumi kwa wakati mmoja,mfano Turksat pekee yake unaweza kupata channels zaidi ya 130 za bure.
 
Mkuu tongoni dish la moto unamaana gani?
 
Mkuu tongoni dish la moto unamaana gani?

Mkuu Viper ni dish ambalo limefungwa motor,kama ulivyoona katika post # 138 nimejaribu kuonyesha unapoweza kuanzia mpaka mwisho kwenda East na West,mfano ukiwa katika eneo unalopata Badr 4 (ARABSAT 4B) 26°E ni wazi utapata Astra 2A 28°E kwa sababu zipo karibu bila kuligeuza dish,lakini huwezi kupata 42°E - Turksat 2A kwa kuwa iko mbele zaidi au 13°E Hot Bird 13A ambayo iko nyuma mpaka uwe na motor na advantage ya motor hata channel ikiwa na weak signal unaweza kwenda menu ukalisogeza dish mpaka pale utakapo ridhia then una store...Na dish lako likiwa na motor,unaweza kutoka 42°E — Turksat 2A mpaka 37°W — Telstar 11N.......Kazi ipo wakati wa kufanya installation ya hizi satelites lakini ukimaliza hapo unakaa na remote yako ndani unaliamrisha tu dishi unakotaka ligeuke.
Mengine atajaliza mtaalam wetu na tutakuja kukumbushana makosa madogo lakini yana-gharimu wakati wa kufanya installation..na Satelites zinazopatikana Tanzania, lnb na positions zake na hili la position pia lina umuhimu wake otherwise utakuwa unazungusha zungusha tu...wanaita 'blind search.
 
Back
Top Bottom