chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Thanks kaka/dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viper, MBC package ipo fta ila kutokana na geographical location itakuwa vigumu sana kupatikana, ukiwa arusha unahitaji angalau dishi la 3m. Dubai sports ok ila haionyeshi epl, inaonyesha bundesliga. Free epl inapatikana @ Amos 5 na W3c.
Viper, dar itakuwa vigumu zaidi kwani beam ya sat Nile101 inaanzia North Africa
Kaka, Dongle ni aina ya sat reicever ambayo ikiunganishwa na receiver nyingine inaweza kukuwezesha kupata scrumbled channels free of charge. Downside ya kifaa hicho ni kwamba mtumiaji hana guarantee ni kwa muda gani itatumika kwani unaweza kutumika kwa muda mfupi sana halafu ikakata.
Wiztech 8020 hd ni sat decoder ambayo ni dvb-s1/s2, mpeg4, hd compatible.Na strong srt 4669 ni dvb-s1/s2 mpeg4 sd decoder ni mashine nzuri ingawa unatakiwa kuwa makini kununua kwani kuna fake copies nyingi sokoni.Aidha zote zinapatikana kwa urahisi sana dar. Kama utakuwa interested unaweza kuni pm.
Habari jf. Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya sat tvs na jinsi wa2 wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.
Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo ye2, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake. Aidha nategemea kupata maswali kutoka kwenu ili niweze kutoa majibu. Mijadala imefunguliwa rasmi.
The Boss, kama unaishi Dar unaweza kuchagua kati ya dvb-s2 na dvb-t2 decoders. Kama uko mikoani tafuta dvb-s2 decoder angalau ya mpeg4 kama vile strong srt 4669 series na Ting aal-003 (japo ni ghali kidogo kwa sasa tsh 325'000/=)mwakani tv channels zote za bongo nzilizokuwa free zitaendelea kuwa free.
Mavella,nafikiri utakuwa kwenye satellite nyingine na sio w3c kwani kuingana na FlySat Eutelsat 16A @ 16¡ã East Tv Madagaska haipo.Kama utatumia Freq hii 10804 H 30000 dvb-s2/8psk utaweza kupata tvs zote zinazorusha epl evry weekend.Jaribu pia kuzungusha lnbf clockwise/anticlockwise.
The Boss, kama unaishi Dar unaweza kuchagua kati ya dvb-s2 na dvb-t2 decoders. Kama uko mikoani tafuta dvb-s2 decoder angalau ya mpeg4 kama vile strong srt 4669 series na Ting aal-003 (japo ni ghali kidogo kwa sasa tsh 325'000/=)mwakani tv channels zote za bongo nzilizokuwa free zitaendelea kuwa free.
satellite ninayosema ndio hiyohiyo eutel 16A zamani ikijulikana kama W3C na tp ambayo nimeikosa ndio hii 10804 H 30000 hapo ndipo ilipo tv malagasy (madagaska) nimeipata kwa fr 11024 H 3330
Mkuu hiyo station ina programs gani nzuri..? Soccer!?