Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

[QUOTE2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?[/QUOTE]

Nimekubali MJ1,
kweli utu uzima dawa.........lol....
 
Hahahaaaaaaa....khaa! We umeende maili moja mbele zaidi....haya tujuze huo ufundi wa kuleta dhambi........Kubusu ndevu?, kulamba visigino?, kuachia ushuzi wakati wa busu la 69? au kunyonya nyuma ya goti?........babu kishazeeka bana.....
teh teh teh Babu hivi kulamba ndevu ni haramu? Hapa nazungumzia ule ujuvi mwingi sijui mtandao, yaani kaja na kuniletea huo upupu eti tunaboresha kwakweli patachimbika. Hapo itakua sio ulikua wapi itakua tena bali itakua balaaa!!
 
Babu huyo aliyemwambia ulikuwa wapi siku zote lazima aliitoa kauli hii akiwa katikati ya mhemko na hakumaanisha kuuliza hivyo labda kama aliliuliza baada ya starehe.......... but stahili yake ilikuwa aseme aksante mpenzi wangu, tena ile ya unyenyekevu na si ya kiafande ile ya aksante huku teyari ashafika mlango wa bafuni!

..............na kwani kwa kuuliza we unapotaka kumpa mwenzi chakula kipya kizuri unaanzaje?
1. Je unampa taarifa kwanza kuwa leo nataka ule chakula hiki?- hapa kama ni mwenzangu na mie naweza kwelijikuta nakwambia ctaki maupuuzi yako/ au umejifunza wapi kwa ukali.
2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?

huwa nasikia kuwa kuna ile milo inayoandaliwa kwa ustadi mkubwa,
kiasi kwamba kula yake sharti ujishike kwelikweli,
yaani chakula kinakuwa ni cha moto, isitoshe
hata hiyo kula yake inakutoa jasho utafikiri umetoka bafuni kuoga..........................
ukitoka hapo inapasa ukalale kwanza kabla hujaendelea na program zingine.............
 
Babu huyo aliyemwambia ulikuwa wapi siku zote lazima aliitoa kauli hii akiwa katikati ya mhemko na hakumaanisha kuuliza hivyo labda kama aliliuliza baada ya starehe.......... but stahili yake ilikuwa aseme aksante mpenzi wangu, tena ile ya unyenyekevu na si ya kiafande ile ya aksante huku teyari ashafika mlango wa bafuni!

...eehhh? ha ha ha!

..............na kwani kwa kuuliza we unapotaka kumpa mwenzi chakula kipya kizuri unaanzaje?
1. Je unampa taarifa kwanza kuwa leo nataka ule chakula hiki?- hapa kama ni mwenzangu na mie naweza kwelijikuta nakwambia ctaki maupuuzi yako/ au umejifunza wapi kwa ukali.
2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?

...mnh!?...salaaale, na kweli bana "kizuri kula na mwenzio!"

Mi sijui nimemsomaje babu au ndio nazeeka kumzidi yeye, sasa alivyoulizwa ulikua wapi na yeye akaendeleza ufundi wake haramu? kwa nini asishtuke? au na yeye ni wale wale lol

Maty bana.... "haramu kinachotoka, kinachoingia mnhhh!"...nazungumzia chakula.
 
Mi sijui nimemsomaje babu au ndio nazeeka kumzidi yeye, sasa alivyoulizwa ulikua wapi na yeye akaendeleza ufundi wake haramu? kwa nini asishtuke? au na yeye ni wale wale lol
Hahahaha...hebu tujuze ufundi haramu ni upi? LOL

Babu huyo aliyemwambia ulikuwa wapi siku zote lazima aliitoa kauli hii akiwa katikati ya mhemko na hakumaanisha kuuliza hivyo labda kama aliliuliza baada ya starehe.......... but stahili yake ilikuwa aseme aksante mpenzi wangu, tena ile ya unyenyekevu na si ya kiafande ile ya aksante huku teyari ashafika mlango wa bafuni!

..............na kwani kwa kuuliza we unapotaka kumpa mwenzi chakula kipya kizuri unaanzaje?
1. Je unampa taarifa kwanza kuwa leo nataka ule chakula hiki?- hapa kama ni mwenzangu na mie naweza kwelijikuta nakwambia ctaki maupuuzi yako/ au umejifunza wapi kwa ukali.
2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?
Mjukuu mtiifu salamu.

Swali la uzushi:
Hivi unajisikia raha ukisifiwa mapishi yako na mlaji wako
1. Wakati anakula chakula ulichomwandalia? Yaani anatafuna huku anakusifia, chakula kikiwa mdomoni
2. Wakati ameshamaliza kula, ameshiba na kucheua?

Kuhusu hoja zako hapo:

Babu anapenda aambiwe mapema bana:..........Ukinambia mapema nami najiandaa....
1. sitapiga ulabu nisijelewa nikashindwa kula vizuri,
2. ntajitahidi nitafute appetite hata ya kukodi ili nije nile vizuri
3. Ntajitahidi niwahi kufika home/au eneo la tukio ili nile kwa kujinafasi

Usiponambia mapema kuna hatari chakula chako kikakosa mlaji:

Labda uongee na mabaameid, mameneja na makauta wafunge baa zao mapema. Babu akiona alkoholi huwa hakumbuki kama kuna kula chakula
 
Hahahaha...hebu tujuze ufundi haramu ni upi? LOL

Mjukuu mtiifu salamu.
Swali la uzushi:
Hivi unajisikia raha ukisifiwa mapishi yako na mlaji wako
1. Wakati anakula chakula ulichomwandalia? Yaani anatafuna huku anakusifia, chakula kikiwa mdomoni
2. Wakati ameshamaliza kula, ameshiba na kucheua?

babu nina uhakika kabisa jibu lake hapa walijua...unantega tu. Dereva akiwa anaendesha gari barabarani, kama anaendesha vizuri husifiwa pale pale ili aendelee kuendesha vizuri; mchezaji mpira akiwa anacheza vizuri kwa kujituma husifiwa pale pale akiwa uwanjani ili aongeze kucheza vizuri ama sivyo ukikaa kimya utamvunja moyo na kumfanya aanzejiuliza mh leo mbona si kocha wala shabiki anayenipongeza?? au nacheza sivyo? basi moyo utamsinyaa na misuli kunyong'onyea.......hasara kwa mwenye timu.

Ungoje mwisho wa mchezo ndo umsifie, itamsaidia nini?? mmekuwa mkutano wa hadhara wangoja hotuba iishe ndo unipigie makofi? ctaki kaa na aksante yako ka inashibisha.

Kuhusu hoja zako hapo:

Babu anapenda aambiwe mapema bana:..........Ukinambia mapema nami najiandaa....
1. sitapiga ulabu nisijelewa nikashindwa kula vizuri,
2. ntajitahidi nitafute appetite hata ya kukodi ili nije nile vizuri
3. Ntajitahidi niwahi kufika home/au eneo la tukio ili nile kwa kujinafasi

Usiponambia mapema kuna hatari chakula chako kikakosa mlaji:

Labda uongee na mabaameid, mameneja na makauta wafunge baa zao mapema. Babu akiona alkoholi huwa hakumbuki kama kuna kula chakula

.....Kuambiwa mapema utaambiwa wala haigombi.......but utaambiwa tu .......dia leo watakiwa kula nyumbani........inatosha sikwambii ni chakula ganio naandaa.utakikuta mezani tena kimefunikwa kwa kawa.....
 
Ubunifu ni mhimu...na kusema aksante baada ya kupewa ubunifu huo ni mhimu pia....Wali ukipikwa pishi moja kila cku huchosha lakini ukichenji mapishi leo pilau la nyama ya Ng'ombe,kesho kuku....n.k
 
babu nina uhakika kabisa jibu lake hapa walijua...unantega tu. Dereva akiwa anaendesha gari barabarani, kama anaendesha vizuri husifiwa pale pale ili aendelee kuendesha vizuri; mchezaji mpira akiwa anacheza vizuri kwa kujituma husifiwa pale pale akiwa uwanjani ili aongeze kucheza vizuri ama sivyo ukikaa kimya utamvunja moyo na kumfanya aanzejiuliza mh leo mbona si kocha wala shabiki anayenipongeza?? au nacheza sivyo? basi moyo utamsinyaa na misuli kunyong'onyea.......hasara kwa mwenye timu.

Ungoje mwisho wa mchezo ndo umsifie, itamsaidia nini?? mmekuwa mkutano wa hadhara wangoja hotuba iishe ndo unipigie makofi? ctaki kaa na aksante yako ka inashibisha.

.
Mjukuu mtiifu heshima mbele....

Kuna kusifia na kushangilia...ni vitu viwili tofauti, siyo? Wakati mchezaji anacheza huwa tunamshangilia ili aongeze bidii.... akishafunga magoli na mpira umeisha si ndio tunamsifia au? Utamsifiaje mtu wakati mpira haujaisha, na wala timu haijashinda?
 
Ubunifu ni mhimu...na kusema aksante baada ya kupewa ubunifu huo ni mhimu pia....Wali ukipikwa pishi moja kila cku huchosha lakini ukichenji mapishi leo pilau la nyama ya Ng'ombe,kesho kuku....n.k
Ewaaa sawa kabisa.... ubunifu wapaswa kufanyika kila uchao..... Tatizo hapa ubunifu mpya kuingia baada ya miaka kumi kupita....ulikuwa wapi ubunifu huu uje uujue leo? Ulikuwa wapi flovans?
 
Mjukuu mtiifu heshima mbele....

Kuna kusifia na kushangilia...ni vitu viwili tofauti, siyo? Wakati mchezaji anacheza huwa tunamshangilia ili aongeze bidii.... akishafunga magoli na mpira umeisha si ndio tunamsifia au? Utamsifiaje mtu wakati mpira haujaisha, na wala timu haijashinda?

........Oh kwa tafsiri hiyo basi sifa huja mwishoni.....lakini ushangiliaji lazima uwepo. Na aksante ni shukrani kisifa na si shukrani shangilia!
 
Swali la kizushi Babu............. ukila chakula kizuri ni lazima ucheua kwa shibe? na mchezaji akicheza vizuri, lazima timu ishinde?
 
So hapa ni darsa la lugha adhimu.....
Kwa hiyo unashauri watu washangilie na kusifia....ila waangalie wasiharibu kwa sifa zilizopitilza....sivyo? Au sifa zataka taimingi?
 
1.Kucheua ni sehemu ya ridhiko mjukuu. Si unajua chakula kitamu lazima ukifakamie? gas lazima ichanganyikane kwenye kasi ya ulaji... yani unabugia chakula kitamu afu usicheue? hicho kitakuwa si kitamu bana...afu utanifanya niongee matusi ujue

2. Raha ya mechi ushindi siyo? Hata mchazaji acheze vipi, jasho limtokeje, timu yake isiposhinda wala hutasikia akisifiwa.... atakuwa amekanyaga nyasi za uwanja bure tu....... Kuna wimbo nakumbuka ulikuwa na kibwagizo "Raha ya mechi bao" Unaujua?

Nawe swali la kizushi: Waweza msifia mchezaji kwa kuwa tu kapiga chenga nyingi lakini timu imefungwa? Utamsifia kwa lipi sanasana?
 
Afu na wee unafanya nini huku? Siasa imekushinda?
 
So hapa ni darsa la lugha adhimu.....
Kwa hiyo unashauri watu washangilie na kusifia....ila waangalie wasiharibu kwa sifa zilizopitilza....sivyo? Au sifa zataka taimingi?

............RR unanitafuta ubaya wewe..........kusema ukweli nijuavyo kushangilia huambatana na ukosefu wa umakini...wezashangilia kwa staili yoyote, likakutoka lolote ili mradi unashangilia....wengine hushangilia kwa matusi, hujawahikumbana nayo?! mpirani linamtoka .kudadake hivyo hivyoo..na maneno kama hayo.

Ila kusifia sasa ndo inabidi uwe makini usijesifia na maneno kama..dah aksante umecheza vizuri kama flani....utaharibu
 
Hahahaha....we mjukuu mtiifu hatari sana hii;

Hii UMECHEZA VIZURI KAMA FLANI............haina uhusiano wowote na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?............. Sijui naeleweka yailah toba?
 
1.Kucheua ni sehemu ya ridhiko mjukuu. Si unajua chakula kitamu lazima ukifakamie? gas lazima ichanganyikane kwenye kasi ya ulaji... yani unabugia chakula kitamu afu usicheue? hicho kitakuwa si kitamu bana...afu utanifanya niongee matusi ujue

Babu kwa hiyo usipocheua ina maana hujashiba? kuna sababu nyingi ambazo zawezazuia wewe kutocheua bana na ambazo hazisababishwi na chakula ulichopikiwa. Mfano kama umezoe mpishi wako ndo aanze kushiba na kucheua ilihali ye kaamua leo mie staki kushiba chakula hiki ni spesheli kwa mpenzi wangu.hadi nimwone ameridhika.. weza usicheue kwa kuwa waona mpishio hacheui. mwisho washiba na kuridhika na mkono washuka au wasubiria tena njaa iume upewe tena lol. Au haiwezekani?

2. Raha ya mechi ushindi siyo? Hata mchazaji acheze vipi, jasho limtokeje, timu yake isiposhinda wala hutasikia akisifiwa.... atakuwa amekanyaga nyasi za uwanja bure tu....... Kuna wimbo nakumbuka ulikuwa na kibwagizo "Raha ya mechi bao" Unaujua?

Nawe swali la kizushi: Waweza msifia mchezaji kwa kuwa tu kapiga chenga nyingi lakini timu imefungwa? Utamsifia kwa lipi sanasana?

babu ndio maana pia kuna zawadi za wachezaji bora hata kama timu yake haijashinda bwana!! mbona sie enzi zile za Umishumta tulikuwa tunachaguliwa kuingia timu ya taifa pamoja na kuwa sometimes hamshindi?? Mi nadhan kutocheua haimaanishi mtu hajashiba. Mwe leo
 
Back
Top Bottom